JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dk Samia amuagiza Dk Kimambo kusimamia weledi na uongozi Muhimbili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imefanya uwekezaji mkubwa wa vifaa tiba na wataalaam wenye utaalam wa juu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ili iweze kutoa…

Mwandishi wa habari Baruan Muhuza achukua fomu kuwania Jimbo la Kigoma Mjini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Asubuhi ya leo katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ujiji, Kigoma tumemshuhudia nguli wa Utangazaji nchini, Baruan Muhuza akichukua Fomu kuwania nafasi ya kukiwakilisha Chama cha Mapinduzi katika uchaguzi Mkuu ujao kupitia jimbo…

Bonanza la Wizara ya Madini laweka msingi mpya wa afya, maendeleo na umoja kazini

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia Dodoma Katika kuenzi afya ya mtumishi wa umma kama msingi wa ufanisi wa taasisi za Serikali, Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Taasisi zake imeandaa bonanza la michezo lililowakutanisha viongozi na watumishi wake kwa lengo la kuhamasisha…

Rais Samia ataja mafanikio sekta ya nishati 2020 – 2025

📌Ni wakati akihitimisha shughuli za Bunge jijini Dodoma 📌JNHPP, Umeme Vijijini, Umeme wa Gridi Kigoma na Katavi; Ni baadhi ya Vielelezo vya mafanikio 📌 Ataja miradi mikubwa ya usafirishaji umeme iliyokamilika 📌Ataka TANESCO kuanza kuiangalia Nyukilia kama moja ya vyanzo…

Waziri wa Katiba na Sheria atoa msaada wa vifaa kwa Jeshi la Polisi

Na Cresensia Kapinga, Songea.  Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa shukrani kwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro, kwa kuwapatia msaada wa kompyuta sita pamoja na vifaa vingine vyenye thamani ya shilingi milioni 10. Akizungumza wakati wa kupokea…

Dk Nchimbi akutana na mwandishi mkongwe Absalom Kibanda

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. John Emmanuel Nchimbi akizungumza jambo na Mwandishi mkongwe, Mwenyekiti Mstaafu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),Ndugu Absalom Kibanda akiwa ofisini kwake, Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, leo Ijumaa , tarehe…