Latest Posts
Askari wawili wahojiwa tukio la mwanahabari kupigwa
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema polisi waliokuwa zamu siku ambayo mwandishi wa habari wa Wapo Redio, Sillas Mbise alishambuliwa na askari, wameanza kuchunguzwa. Mbise anadaiwa kushambuliwa na polisi juzi Agosti 8, 2018 wakati…
Kalanga amalizana na CCM, aisubiri Chadema
Hatimaye maandamano ya wana-CCM wilayani Monduli kupinga Julius Kalanga kuwa mgombea pekee wa ubunge kupitia chama hicho yamegonga mwamba baada ya kada huyo kujitokeza peke yake kuchukua na kurejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kuwania nafasi hiyo. Kalanga aliyekuwa mbunge wa…
Tangazo la NEC lahitimisha udiwani wa Manji
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa udiwani wa kata 21 ikiwamo ya Mbagala Kuu katika Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam, jambo linalohitimisha udiwani wa mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuf Manji. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Athuman…
NEC yazipangua hoja za Chadema Buyungu
Mkurugenzi wa uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) Dk Athumani Kihamia amesema msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Buyungu mkoani Kigoma ataendelea kutekeleza majukumu yake kwa kuwa malalamiko yaliyotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kumkataa hayakufuata…