Latest Posts
Ratiba ya 16 Bora Kombe la Dunia 2018
Alhamisi ya June 28 tumeshuhudia michuano ya Kombe la Dunia 2018 hatua ya makundi ikimalizika kwa Afrika kupoteza timu zote 5 katika hatua ya makundi kutokana na kukosa point za kutosha kuingia hatua ya 16 bora. Katika hatua hiyo ya…
Watu watano wauawa kwa shambulio la risasi Maryland Marekani
Polisi katika jimbo la Maryland nchini Marekani wanasema watu watano wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika shambulio la risasi lililofanyika katika ofisi za kampuni ya Capital Gazette inayomiliki magazeti ya kila siku katika mji wa Annapolis. Wafanyakazi wa gazeti hilo…
Filimbi ya Kagame Cup Kuanza Kupulizwa Leo
Michuano ya Kagame Cup inaanza rasmi leo kwa mechi tatu kupigwa ambapo saa 8 mchana JKU ya Zanzibari itaanza kibarua chake dhidi ya Vipers SC kutoka Uganda. Baadaye saa 10 mechi ya rasmi ya ufunguzi itakuwa baina ya mabingwa watetezi,…
Belgium v England: Romelu Lukaku kuikosa mechi muhimu Kombe la Dunia
Mshambuliaji wa Ubelgiji Romelu Lukaku anatarajiwa kuikosa mechi muhimu katika Kombe la Dunia dhidi ya England Alhamisi. Mechi hiyo itakayochezewa mjini Kaliningrad inatarajiwa kuamua nani atamalizakileleni katika Kundi G. Mchezo huo utaanza saa tatu saa za Afrika Mashariki. Mshambuliaji huyo…
UONGOZI GOR MAHIA WAJA JUU KUHUSIANA NA KAGERE, WAELEZA ALIDANGANYA
Imeelezwa uongozi wa Gor Mahia FC umeshangazwa na kitendo cha mshambuliaji wao tegemeo, Meddie Kagere kujiunga na klabu ya Simba kwa kusaini mkataba wa miaka miwili. Wakati Kagere akiwa nchini Kenya ikiwa ni wiki kadhaa zimepita baada ya mashindano ya…