JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Nidhamu, uwajibikaji nguzo ya mageuzi ya elimu – ADEM

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM), Dkt. Maulid J. Maulid, ameeleza nidhamu na uwajibikaji ni chachu ya mafanikio katika sekta ya elimu Kauli hiyo aliitolewa 25 Juni, 2025 wakati akifungua…

Mkutano Mkuu ARSO waanza

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar MKUTANO Mkuu wa 31 wa Shirika la Viwango la Afrika (ARSO) umeanza leo katika Hoteli ya Golden Tulip iliyoko Zanzibar, ukivuta wajumbe kutoka kila kona ya Afrika. Tukio hili, lililosimamiwa na Showtime, limeonyesha urari mzuri…

Rais Samia ameweka alama kwa watumishi wa Magereza Arusha

📌Nishati safi ya kupikia ni endelevu 📌Yaelezwa ni salama na mkombozi wa mazingira Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameacha alama mkoani Arusha kwa kugawa mitungi ya gesi 528 na majiko yake kwa watumishi…

Malalamiko 461 yawasilishwa EWURA kwa miaka miwili

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesema katika kipindi cha miaka miwili, yaani 2023/24 na 2024/25, imesajili jumla ya malalamiko 461. Imefafanua kuwa, kati ya hayo, malalamiko 167 (asilimia…

Gen-Z Kenya waandamana kuwakumbuka wenzao 60 waliouawa 2024

Maelfu ya waandamanaji wamejitokeza katika miji mikuu nchini Kenya kukumbuka tukio la Juni 25 mwaka uliopita ambapo wenzao 60 waliuawa na Polisi wakati wa maandamano ya kuupinga Mswada wa Fedha mwaka 2024. Hata hivyo Polisi walilazimika kutumia mabomu ya kutoa…