JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Jela maisha kwa kumkaba mwanafunzi wa darasa la tano

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida imemuhukumu mkazi wa Kijiji cha Ighombwe,Tarafa ya Sepuka,wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida,Emanueli Musa (27) kutumikia adhabu ya kifungo cha maisha jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka…

Rais Mwinyi : Zanzibar imepiga hatua kubwa kulinda haki za wanawake

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa kulinda haki za wanawake kwa kuwa na sera na sheria bora zinazohakikisha usalama, usawa wa kijinsia na kuwepo kwa miji na maeneo…

Samia arejesha fomu ya urais, CCM yatia nia kwa mara nyingine kuipeleka Tanzania juu zaidi

Na Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Katika hali ya hewa nzuri ya Jiji la Dodoma, asubuhi ya Agosti 27, 2027, historia imeandikwa tena pale Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alipowasili katika Ofisi za Tume Huru ya…

DC Nyasa awataka wananchi kutambua umuhimu wa lishe bora

-Asema Nyasa bila utapiamlo, udumavu, upungufu wa damu inawezekana -Wajawazito wahimizwa kutumia madini Chuma -Atoa rai kwa Wataalam wa Afya kuzingatia Weledi,ushirikiano kupata Matokeo Na Byarugaba Innocent, Nyasa DC Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe.Peres Magiri ametoa wito kwa wananchi…