Latest Posts
Mavunde atimiza ndoto iliyomtesa kwa Miaka 15
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Katika kilele cha safari ya ndoto ya muda mrefu, Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini ambaye pia ni Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ameweka historia kwa kuzindua rasmi jengo la kupumzikia ndugu wa wagonjwa katika Hospitali ya…
Serikali yawataka wabunifu Majengo, Wakadiriaji Majenzi kuhakikisha jamii inawatambua na kuwatumia
Na Mwandishi Wetu SERIKALI imewataka Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi nchini kuhakikisha jamii inawatambua na kuwatumia katika masuala ya majenzi ili waweze kuwa na makazi bora Pia imetoa maagizo manne kwa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi…
Mbunge Mavunde akabidhi jengo la kupumnzikia wananchi Hospitali ya Rufaa Dodoma
▪️RC Senyamule ampongeza kwa jengo na uanzishwaji wa ujenzi wa uzio ▪️Rais Samia apongezwa kwa maboresho makubwa ya huduma ya Afya ▪️Wananchi wamshukuru Mbunge Mavunde kwa utatuzi wa changamoto ya muda mrefu. Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony…
Serikali yajenga bandari nyingine Zanzibar kulinda mazingira
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI inajenga bandari nyingine nje ya Manispaa ya Mtwara Mikindani itakayotumika kusafirisha bidhaa chafuzi kwa mazingira na afya kama vile saruji na makaa ya mawe, ili magari yote yanayobeba makaa ya mawe kupita nje ya…
Senyamule: Kila Mtanzania awe mjumbe wa mapambano dhidi ya dawa za kulevya
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, ametoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki katika maadhimisho ya kitaifa ya Siku ya Kupinga Dawa za Kulevya Duniani, akisisitiza kuwa tatizo hilo ni tishio la moja…