Latest Posts
Busisi: Rais Samia amethibitisha tunaweza
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Mwanza Wiki iliyopita Rais Samia Suluhu Hassan amezindua daraja la kihistoria katika nchi yetu. Daraja hili ni la Kigongo – Busisi, Mwanza, ambalo limepewa jina na John Pombe Magufuli. Daraja hili limejengwa kwa zaidi ya Sh…
Betway yazindua mashindano ya kwanza ya Aviator Legends
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni kinara na mvumbuzi wa kimataifa katika tasnia ya michezo ya kubashiri mtandaoni imezindua rasmi mashindano ya kwanza ya Aviator Legends. Taarifa iliyotolewa Jijini Dar es Salaam imeeleza kuwa shindano hili la kusisimua…
Majaliwa aagiza Taasisi za Umma kujiunga na Mfumo wa GovESB kabla ya Julai 30
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza Taasisi zote za Serikali ambazo bado hazijajiunga na Mfumo wa Kielektroni wa Mawasiliano baina ya Mifumo ya Serikali (Government Enterprise Service Bus – GovESB), kuhakikisha zinafanya hivyo ifikapo Julai 30, 2025. Majaliwa…