JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

MCHEZO KATI YA SIMBA VS KAGERA SUGAR WABADILISHWA

Bodi ya Ligi kupitia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imeufanyia mabadiliko mchezo namba 226 wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba SC dhidi ya Kagera Sugar. Mchezo huo awali ulipaswa kuchezwa Jumapili ya Mei 20 2018 lakini sasa umefanyiwa mabadiliko…

Kim Jong-un atishia kufuta mkutano wake na Trump

  Korea Kaskazini imesema huenda ikaufuta mkutano kati ya kiongozi wake Kim Jong-un na Rais wa Marekani Donald Trump iwapo Marekani itaendelea kusisitiza kwamba taifa hilo la bara Asia ni lazima liharibu au kusalimisha silaha zake za nyuklia. Mkutano huo…

KIKOSI CHA ARGENTINA KUELEKEA URUSI KWENYE KOMBE LA DUNIA HIKI HAPA

  Hiki hapa kikosi cha  wachezaji wa timu ya taifa ya Argentina walioitwa na Kocha Jorge Sampaoli kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia inayoanza mwezi Juni 2018 nchini Russia. Makipa: Sergio Romero, Nahuel Guzman, Willy Caballero, Franco Armani…

WAJEUMANIA WAKASILIKA WACHEZAJI WAO KUPIGA PICHA NA RAIS WA UTURUKI

Shirikisho la soka Ujerumani (DFB) limeshutumu wachezaji wake wa kimataifa Mesut Özil na Ilkay Gündogan kwa kupiga picha na rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan. Wachezaji hao wawili waliozaliwa Ujerumabni, wote wenye asili ya Kituruki, walimkabidhi Erdogan fulana zao walizozisaini…

YANGA SC KUIVAA RAYON SPORT BILA MASTAA WAKE

Timu ya Yanga leo majira ya saa moja usiku kitashuka dimbani kwenye uwanja wa Taifa kuumana na Rayon Sport ya Rwanda katika mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, bila wachezaji wake nyota ambao ni  Amis Tambwe bado hajaimarika vizuri kiafya,…