JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

TBA yatakiwa kuwaelimisha watumishi wa umma kuhusu huduma zake kupitia maonesho ya utumishi

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umetakiwa kutumia ipasavyo fursa ya Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma ili kuwaelimisha na kuwafikia kwa karibu watumishi wa umma kuhusu huduma mbalimbali inazotoa, hususan katika sekta ya makazi na ujenzi…

Fursa za Madini Zipo Kidijitali

Watanzania Watakiwa Kuzichangamkia Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Sekta ya madini nchini Tanzania inaendelea kushamiri kwa kasi, ikifungua milango ya ajira, uwekezaji na maendeleo kwa wananchi na Taifa kwa ujumla. Serikali kupitia Tume ya Madini imeendelea kuweka mazingira wezeshi kwa…

Asilimia 20 ya wahitimu CBE wajiajiri wenyewe

Waliosoma CBE wampongeza Profesa Edda Lwoga kwa mageuzi makubwa Kongamano la fursa za ajira CBE laleta neema kwa wanafunzi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam UTAFITI uliofanywa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kuhusu wahitimu wake umeonyesha kuwa…

Watuhumiwa 349 wakamatwa Pwani, wahalifu sugu 31

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limewakamata watuhumiwa 349, wakiwemo wahalifu sugu 31 ambao kwa muda mrefu walikuwa mafichoni. Aidha baadhi yao waliwahi kufungwa jela kwa makosa mbalimbali, ikiwemo unyang’anyi wa kutumia silaha (kama mapanga),…

Mashambulizi yaendelea mzozo wa Iran na Israel

Jeshi la Israel limeripoti kuwa Iran imefanya mashambulizi yaliyohusisha msururu wa makombora Ijumaa mchana. Ni wakati waziri wa mambo ya nje wa Iran akiwa mjini Geneva kwa mazungumzo katika juhudi za kuutatua mzozo huo. Taarifa ya jeshi la Israel imesema…

Halmashauri Mafia yatakiwa kuimarisha usimamizi wa mapato na kukamilisha miradi viporo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, mkoani Pwani, imetakiwa kuongeza juhudi katika kusimamia ukusanyaji wa mapato na kuhakikisha inaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kukamilisha miradi iliyosimama kwa muda mrefu. Maagizo hayo yametolewa na Katibu Tawala…