JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Jesca Magufuli : Kila Mtanzania ameshuhudia mafanikio yaliyotekelezwa na Dk Samia

Mgombea Ubunge wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Jesca Magufuli, amesema kuwa kila Mtanzania anashuhudia mafanikio makubwa yaliyotekelezwa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ameyasema…

Lipumba : Wananchi mna haki ya kudai mabadiliko

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba, amesema wananchi wana kila sababu ya kudai haki na kuleta mabadiliko kupitia chama hicho ambacho kimekuwa mstari wa mbele kutetea usawa kwa wote. Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata…

Dk Samia aendelea na kampeni Geita

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaendelea na kampeni zake leo mkoani Geita kwa kufanya mikutano mikubwa ya hadhara katika maeneo ya Mbogwe, Bukombe na Runzewe. Katika mikutano hiyo,…

Klabu za madaktari waadhimisha miaka 26 ya kifo cha Nyerere kwa kufanya usafi Songea

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 26 ya kifo cha baba wa Taifa Hayati Mwalimu Baba wa Taifa Julius Nyerere, klabu ya madaktari kwa kushirikiana na klabu mbalimbali za michezo, wasanii wa ngoma za asili…

Biteko: Samia ametujengea jengo la utawala baada ya miaka 29

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media- Bukombe Mgombea ubunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko amesema mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amefanikisha ujenzi wa ofisi ya mkuu wa wilaya…

Mgombea urais CUF aahidi kuondoa utitiri wa kodi, aomba wananchi wampe kura

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mgombea Urais kupitia chama cha wananchi (CUF) Gombo Samandito amesema endapo wananchi wakimpa ridhaa ya kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ataondoa utitiri wa kodi nchini ambapo ataweka mfumo mmoja wa ukusanyaji kodi…