JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Yah: Safari ni ndefu lakini ina kila dalili ya mafanikio

Kila nikifikiria safari ilivyo, naona kama tupo mbali sana kufika mwisho, tupo njiani kwa safari ambayo hatima yake huenda tukafika salama na tukiwa na afya njema kabisa. Leo nimewaza mengi sana na nimekumbuka mengi sana; sina hakika kama mwishowe yatakuwa…

Amani na utulivu katika Tanzania

"Tukiulizwa na wenye kiburi na fidhuli ya wingi wa mali; mna nini, nyinyi Watanzania? Tunaweza kujibu, si kwa fidhuli, lakini kwa fahari kabisa: tuna umoja na amani; vitu ambavyo havinunuliki kwa kiasi chochote cha fedha. "Tuna haki ya kujivunia umoja huu…

Sheria imeruhusu kudai zawadi uchumba unapovunjika

Una mahusiano na mwanaume au mwanamke ambaye kimsingi mpo katika uchumba. Unampa zawadi nyingi naye anakupa zawadi. Mnayo ahadi ya kufunga ndoa na kuishi kama mume na mke. Na kwa sababu hiyo, unajitoa sana kimatumizi kwa mtu huyo. Lakini katika…

Mwalimu Nyerere niliyemjua (4)

3.7: Nyerere na huduma za Jamii. Ukuu wa Uzalendo,Uadilifu na Utaifawa Julius K. Nyerere pia unajidhihilisha katika eneo la huduma za jamii – Afya,  elimu na maji. Kupitia hotuba yake aliyoitoa Bungeni tarehe 29 Julai, 1985, kuhusu elimu na afya;…

Serengeti Boys mbele kwa mbele

Timu ya Taifa ya Vijana  chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’, imeendelea kufanya vema katika mashindano ya AFCON yanayoendelea nchini Gabon. Serengeti Boys imefanya jambo ambalo Watanzania wamekuwa wakilisubiri kwa muda mrefu, kushiriki na kuleta ushindani katika mashindano ya kimataifa. Timu…

News: No Longer a Mystery

News is the sole approach that makes them stay linked with the remaining portion of the world. Is it doesn’t connectivity between you and the rest of the world. Each of the present news about numerous fields ought to be…