Latest Posts
Vita dawa za kulevya si ndogo
Nakubaliana na kauli ya viongozi, ikiwa ni pamoja na ya Rais John Magufuli, kuwa vita dhidi ya dawa za kulevya si jambo dogo. Alitamka: “Hii ni vita kubwa na siyo suala la mzaha. Ni lazima tuisimamie kwa nguvu zote.” Ni…
Mwenye nyumba ana hatia ikiwa mpangaji anahusika na dawa za kulevya
Wenye nyumba hawako salama ikiwa wapangaji wao ni wahusika wa dawa za kulevya. Ni muhimu kulijua hili ili kujihadhari na kile kinachoweza kukuletea madhara. Sheria mpya ya kupambana na kuzuia dawa za kulevya – ‘The Drug Control and Enforcement Act,…
Usalama viwanjani changamoto
Suala la usalama ndani na nje ya viwanja vya soka limebaki kuwa tishio kwa wachezaji na watazamaji wa mchezo huo, hali inayoendelea kupunguza idadi ya watu wanaokwenda kutazama mechi, barani Afrika. Mara nyingi ajali katika viwanja zimekuwa zikisababishwa na uzembe…
Wauza unga hawa
Waagizaji na wauza dawa za kulevya hapa nchini, wanaendelea kusakwa, kukamatwa na kufungwa kimya kimya, lengo likiwa ni kunusuru kizazi cha Watanzania kinachoangamia kutokana na mihadarati. Taarifa za ndani ambazo JAMHURI limezipata, zinaonesha kwamba walau asilimia 60 ya waagizaji na…
Siri mjane ‘aliyejilipua’
Swabaha Shosi, ambaye wiki iliyopita alimweleza Rais John Magufuli namna anavyosumbuliwa na vyombo vya utoaji haki, kwa sasa analindwa na vyombo vya ulinzi ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais. “Kwa kweli nashukuru, nimepewa ulinzi, ninao,” amesema Swabaha alipozungumza kwa…
Yaliyomkuta Mjane yamkuta mwekezaji
Wakati Rais John Pombe Magufuli ameingilia kati mgogoro wa umiliki wa ardhi kwa mjane kutoka Tanga, Swabaha Mohamed Shosi, uchunguzi wa JAMHURI umebaini kuwa jijini Dar es Salaam watendaji wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wamepandikiza hati…