Latest Posts
BALOZI ZA ISRAEL NA UJERUMANI ZA AHIDI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)
23/1/2018 Balozi za Israel na Ujerumani hapa nchini zimeahidi kuendelea kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ili kuhakikisha watanzania hasa watoto wanapata huduma bora za matibabu ya moyo. Hayo yamesemwa leo na Manaibu Balozi wa nchi hizo…
WATANZANIA WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA COMORO
Balozi wa Tanzania katika Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe, Sylvester Mabumba (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji wa Comoro, Bw. Said Mohamed Omar (wa pili kutoka kushoto), Mkurugenzi wa…
MWALIMU NANI? ADHA ZA TAKSI DAR ES SALAAM
Mapema mwezi huu nikiwa Dar es Salaam nilituma ujumbe kuomba huduma ya usafiri wa Uber, huduma nafuu ya usafiri wa taksi ambayo imeleta nafuu ya gharama za usafiri jijini humo. Katika kutumia Uber nimegundua tatizo moja la msingi. Madereva hawana…
POWER ON FITNESS GYM KUUKARIBISHA MWAKA MPYA KWA STYLE YA KIPEKEE
Power on Fitness Gym iliyopo Mwenge, kinondoni, Jijini Dar es salaam imeandaa siku maalumu kwa ajili ya kujumuika pamoja, kufanya mazoezi na kuukaribisha mwaka mpya wa 2018. Shughuli hiyo itafanyika siku ya jumamosi January 27,2018 katika viwanja vya posta vilivyopo…
GMOS: KIGINGI KWA UFANISI WA KILIMO MANYARA
NA RESTITUTA FISSOO, MANYARA Ni ukweli usiopingika kuwa ili kufikia azma ya Serikali ya kufanya kilimo kuwa biashara, kukuza kipato, matumizi ya sayansi na teknolojia vinahitajika ili kuongeza uzalishaji na tija kwa mkulima. Hata hivyo, teknolojia mpya ya kubadilisha vinasaba…
USHIRIKI WA WANANCHI KATIKA KUZUIA RUSHWA
Na Lawrence Kilimwiko, DAR ES SALAAM “Sisi tunaoishi vijijini huku, haki zetu zote zina bei. Yaani hata ukikamata mwizi wa ndizi yako, ili umkamate inabidi uwe na hela ya kumpa mgambo akukamatie mwizi wako. Ukimpeleka mahakamani unahitaji hela ya teksi,…