JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

SADC : Sekta ya nishati iwe kichocheo cha kuunganisha Afrika kujenga uchumi

📌 Yasisitiza utekelezaji wa miradi ya kipaumbele ya Nishati 📌 Kapinga ataka SADC kuweka dhamira thabiti na mikakati madhubuti ya utekelezaji wa Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia Mawaziri wanaoshughulikia masuala ya Nishati na Maji wa Nchi za Jumuiya ya…

Singida yatumia zaidi ya Trilioni 1.7 kufungua fursa za maendeleo

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mkoa wa Singida umeweka historia ya maendeleo kwa kutumia zaidi ya shilingi trilioni 1.72 katika kipindi cha miaka mitano (2020/21 hadi 2024/25), fedha zilizotolewa na Serikali Kuu, mapato ya ndani pamoja na michango kutoka kwa wadau wa…

Dk Jingu aitaka jamii kuwatunza wazee ikiwemo kupinga vitendo vya ukatili dhidi yao

📌 AWASHAURI VIJANA KUJIANDAA NA UZEE‎‎Na WMJJWM – Mwanza‎‎Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu ameitaka jamii kushiriki kikamilifu katika kuwatunza wazee wao, kuwaheshima, kuwaangalia na kulinda dhidi ya vitendo vya…

Askofu Dk Shoo akemea upotoshaji mchango wa Rais Samia kwa taasisi za kidini

Mwenyekiti wa CCT, Askofu Dkt. Fredrick Shoo amesema kuwa baadhi ya watu kwa sababu zao binafsi wamekuwa wakidai kuwa msaada wa Rais, Dkt. Samia ni sehemu ya hongo, madai ambayo yamekuwa yakimuumiza sana kama kiongozi wa dini. Niendelee kumsihi Rais…

MNEC Ndele, ajigamba kwa kujenga Ofisi za CCM

NAla Ruja Masewa, JamhuriMedia, Mbeya Mjumbe wa Halmashauri ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya MNEC Ndele Mwaselele, amekanusha Uvumi kwamba kuna mtia nia wa ubunge anambeba, na badala yake amejigamba kuwa yeye anatatua Kero za Wananchi na Kujenga…

Tume ya Haki za Binadamu yawahamasisha wananchi kuhusu haki na Uchaguzi Huru

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imeutumia vyema msimu wa Maonyesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) kama jukwaa la kufikisha elimu kwa wananchi kuhusu haki…