JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Hawa ndio Atletico Madrid, Wabeba Kombe la Europa League kwa kishindo, baada ya kuwafunga Marseille 3-0

Antoine Griezmann alifunga mabao mawili na kuwawezesha Atletico Madrid kuwachapa Marseille 3-0 mjini Lyon, Ufaransa na kushinda Kombe la Europa League mara yao ya tatu katika kipindi cha miaka tisa. Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa alianza kwa kufunga dakika…

YANGA YASHINDWA KUTAMBA NYUMBANI, YATOKA SARE NA RAYON SPORTS

Timu ya Yanga imeshinwa kuutumia vema uwanja wake wa nyumbani kwenye michuano ya Kombe la shirikisho barani Afrika,  baada ya kutoka sare tasa ya bila kufungana na Rayon Sports ya Rwanda Katika mchezo huo ambao ulipigwa kwenye dimba la Taifa,…

Kauli ya serikali kuhusu ajira za vijana waliopita JKT

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dkt Hussein Mwinyi amesema serikali inatarajia kuajiri wastani wa vijana 6,000 waliopitia JKT kwa ajili ya vyombo vya ulinzi na usalama. Aidha amesema kujiunga na JKT kwa kujitolea, hakutoi uhakika wa…

Ukidanganya Kwenye Mtandao Kenya Adhabu dolla 50,000 za Kimarekani

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameidhinisha Mswada wa Sheria za Uhalifu wa Kompyuta na Mtandaoni wa 2018 kuwa Sheria, hatua itakayotoa adhabu kali kwa watakaopatikana na makossa ya mtandaoni. Sheria hiyo inatoa adhabu ya faini ya dola 50,000 za Marekani…

PEP GUARDIOLA KOCHA BORA LIGI KUU UINGEREZA, AWABWAGA MAKOCHA WENZAKE

Kocha wa Mabingwa Ligi Kuu Uingereza, Pep Guardiola ameshinda tuzo ya Kocha Bora wa Ligi Kuu England kufuatia kuiwezesha Manchester City kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu nchini humo na kuwashinda Makocha wenzake walikuwepo kwenye Kinyang’anyiro hicho ambao ni Roy Hogson…