Latest Posts
Upatikanaji pembejeo wawanyanyua wakulima Hanang
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Wakulima wa zao la mahindi wilayani Hanang mkoa wa Manyara, wameipongeza Serikali kwa kufanikisha upatikanaji wa pembejeo kwa wakati, hatua iliyochangia ongezeko kubwa la mavuno msimu huu. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakulima hao walisema kuwa utoaji…
Kamati yatembelea mto Kagera ambao ni sehemu ya mpaka wa Tanzania na Rwanda
Na Mwandishi Wetu KAMATI ya Pamoja ya Wataalamu ya Uimarishaji Mpaka wa Tanzania na Rwanda (JTC) imetembelea eneo la mto Kagera lililopo wilayani Ngara mkoa wa Kagera ikiwa ni sehemu ya mpaka wa kimataifa. Eneo hilo la mto Kagera lililotembelewa…
Oktoba tunatiki kwa Rais Dk Samia – Wasira
*Ataja sababu za ‘Oktoba Tunatiki’ kwa Dk. Samia, Dk. Nchimbi*Asema kaulimbiu ‘No Reform No Election’ inaelekea mwisho*Asema Watanzania hawana historia wala sababu Wakristo, Waislamu kugombana*Awahakikishia wananchi uchaguzi uko pale pale, amani nchini uhakika Na Mwandishi Wetu, Tunduru MAKAMU Mwenyekiti wa…
Gwajima ni sikio la kufa…
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita nimesoma habari na kusikiliza matamko kwenye mitandoa ya kijamii. Nimemsikiliza askofu Josephat Gwajima. Kwanza niwape pole wakaazi wa Jimbo la Kawe. Nazifahamu ahadi alizozitoa kwao Askofu Gwajima. Mara Japan, Birmingham, magreda,…
PIC yaipongeza PPPC kwa kusimamia dhana ya PPP
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimetoa mafunzo maalum kuhusu ubia wa sekta hizo mbili (PPP) kwa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC). Mafunzo hayo yamelenga kuwawezesha…
NIRC yaendelea kutekeleza ahadi ya Rais Samia ya uchimbaji visima 67,000 vya umwagiliaji nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita, kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, imeanza utekelezaji wa ahadi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya uchimbaji wa visima virefu 67,000 vya maji kwa ajili ya kiliko cha Umwagiliaji…