Latest Posts
Baada ya kujenga daraja, Aliko ataka ubunge CCM
Na Ruja Masewa, JamhuriMedia,Rungwe Baada ya kuchangia maendeleo mara nyingi ikiwemo Ujenzi wa Madaraja katikaJimbo la Rungwe mkoani Mbeya, Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwaiteleke Foundation Aliko Anyambilile Mwaiteleke, sasa anautaka ubunge Rungwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Aliko aliyejitolea kutunza…
Wanamichezo waendelea kuwasili viwanjani uzinduzi UMITASHUMTA & UMISSETA 2025
OR-TAMISEMI Wanamichezo kutoka mikoa mbalimbali wanaendelea kuwasili katika viwanja vya Kichangani Manispaa ya Iringa kwa ajili ya ufunguzi rasmi wa Mashindano ya UMITASHUMTA & UMISSETA 2025. Ufunguzi huo unatarajiwa kuongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim…
Mradi wa kuzalisha umeme wa jua Kishapu wafikia asilimia 63.3 – MD Twange
📌Asema awamu ya kwanza utazalisha Megawati 50 na kuingizwa kwenye Gridi ya Taifa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kishapu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Bw. Lazaro Twange amesema Mradi wa uzalishaji umeme unaotokana na jua wa Kishapu Mkoani Shinyanga umefikia asilimia 63.3…
Usiyoyajua kuhusu chifu aliyezikwa katika kaburi la mviringo akiwa ameketi Mbinga
Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Ruvuma KATIKA kijiji cha Mbuji kilichojificha kwenye vilima vya wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, kuna kaburi la aina yake kaburi linalobeba historia ya maumivu, ujasiri, usaliti, na ushindi. Hili si kaburi la kawaida. Ni kaburi la…
ACT Wazalendo yaongeza muda uchukuaji fomu Bara
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesogeza mbele hadi Juni 30, 2025 zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu za nafasi mbalimbali za Uchaguzi Mkuu Tanzania Bara. Taarifa ya chama hicho iliyotolewa na Naibu Katibu Idara ya Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma,…