Latest Posts
Naibu Waziri wa Nishati akabidhi vitendea kazi TANESCO Mkoa wa Shinyanga
📌Ni katika muendelezo wa mkakati wa shirika wa kuwahudumia wananchi kwa ufanisi 📌Awasihi wananchi kutumia nishati safi umeme kupikia Na Mwandishi Wetu, Kahama Naibu Waziri wa Nishati Mh. Salome Makamba amekabidhi vitendea kazi vya usafiri kwa TANESCO Mkoa wa Shinyanga…
Wanajeshi wa Marekani wajeruhiwa Saudi Arabia
Wanajeshi 12 wa Marekani wamejeruhiwa kufuatia shambulio lililolenga kambi ya anga ya Prince Sultan nchini Saudi Arabia, huku vita kati ya Iran na Marekani na Israel ikiingia mwezi wa pili. Idadi hiyo imeongezeka kutoka 10 iliyoripotiwa awali, kwa mujibu wa…
Israel yapanga kuendeleza mashambulizi yake Iran
Waziri wa ulinzi wa Israel, Israel Katz ametangaza mipango ya kutanua mashambulizi yake Iran, huku kukiwa na uwezekano kufanyika mazungumzo kati ya Marekani na Tehran. Kulingana na Ofisi yake, Katz amesema hatua iliyochukuliwa inatokana na makomborayanayoendelea kurushwa Israel kutoka Iran….
Vijana 521 waondoka kwa ajira nje ya, 45 waenda Ulaya
Na OWM-KAM, Dar es Salaam Serikali imeendelea kufungua na kuimarisha njia salama za uhamiaji wa nguvu kazi kwa kushirikiana na nchi rafiki pamoja na taasisi za kikanda na kimataifa, ikiwa ni juhudi za kuhakikisha Watanzania wanapata ajira zenye staha, kulindwa…
Tanzania na Israel zaimarisha ushirikiano katika sekta za kilimo na afya
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema Israel imekuwa mshirika muhimu katika sekta mbalimbali nchini, ikiwemo kilimo, afya, ulinzi na usalama, hali inayochangia kuimarika kwa ushirikiano wa muda mrefu kati ya nchi hizo mbili. Waziri wa Mambo ya Nje…
Waandishi wa habari wakamatwa kwa amri ya DC Arusha
Mwandishi Wetu,Karatu Watangazaji wawili wa kituo cha Lumeni Radio cha Karatu, Mkoa Arusha,Nobert Hongoli na Wolter John Mbaga (Mhariri) wamekamatwa na kuwekwa rumande kwa amri ya mkuu wilaya hiyo Lameck Karanga. Watangazaji hao wamekamatwa leo Machi 27,2026 asubuhi baada ya…





