Latest Posts
Makamu wa Rais kumwakilisha Rais mkutano wa bahari nchini Ufaransa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango, leo tarehe 07 Juni 2025 ameondoka nchini kuelekea Ufaransa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Tatu wa…
Serikali inatambua mchango wa viongozi wa dini – Majaliwa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inawaamini na inathamini mchango wa viongozi wa dini wa madhehebu yote. Amesema serikali itaendelea kuimarisha ushirikiano kati yake na viongozi hao ili kujenga amani, mshikamano na ustawi wa jamii ya…
Mahakama ya Afrika yasikiliza kesi ya utekelezaji wa maamuzi kwa jamii ya Ogiek dhidi ya Kenya
Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) imeendelea kusikiliza shauri la jamii ya Ogiek kutoka Kenya dhidi ya serikali ya nchi hiyo, wakidai kutotekelezwa kwa maamuzi ya awali ya Mahakama kuhusu haki zao…
Ummy awasilisha salam za pole msiba wa mdogo wake Lukuvi
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe. Ummy Nderiananga, amewasilisha salamu za pole kwa niaba ya Serikali kwa familia ya Mhe. William Lukuvi kufuatia msiba wa mdogo wake, Mtwa Xavier Lukuvi. Ibada ya mazishi imefanyika tarehe…
Matawi sita ufufuo na uzima yafungiwa Mbeya
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limeyafungia matawi sita ya Kanisa la Ufufuo na Uzima yaliyopo katika halmashauri sita za mkoa huo. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga kufungiwa kwa matawi…
Wanafunzi 214, 141 kujiunga Kidato cha Tano, vyuo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Miko na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imetangaza kuwachagua wanafunzi 214,141 wenye sifa za kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya elimu ya ufundi kwa mwaka wa masomo…