JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Serikali yaahidi sheria rafiki kwa wawekezaji kufanikisha Dira 2050

Na Mwandishi wa OMH, Kibaha Serikali imeeleza dhamira yake ya kutengeneza sheria rafiki za uwekezaji zitakazoiwezesha kufikia uchumi wa kati wa juu kama ilivyobainishwa kwenye Dira 2050. Moja ya shabaha za Dira 2050 ni kuchochea ukuaji wa Pato la Taifa…

Mapessa Intertrade yapambania ujenzi viwanda vya uchenjuaji, kemikali Chunya

Si Lazima Uchimbe: Mapessa Yafungua Macho kwa Fursa Ndani ya Sekta ya Madini Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Chunya Kampuni ya Uuzaji wa Vifaa na Kemikali za Uchenjuaji Madini Chunya, MAPESSA Intertrade Ltd imeiomba Serikali kuendelea kuhamasisha wadau na Wawekezaji kuanzisha…

Tume ya Madini yajipanga upya kuiboresha sekta ya madini nchini

Na MwandishinWetu, JamhuriMedia, Tanga Tume ya Madini inaendelea na kikao kazi cha menejimenti jijini Tanga chenye lengo la kutathmini utekelezaji wa majukumu yake na kuweka mikakati mipya ya kuimarisha Sekta ya Madini nchini. Kikao hicho kinahusisha Makamishna wa Tume ya…

ACT Wazalendo kujadili jinsi ya kupiga kura kwa nafasi ya rais

Chama cha ACT Wazalendo kimesema kitafanya kikao cha dharura leo usiku, kujadili ni namna gani wanachama wa chama hicho watapiga kura ya rais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025. Hatua hiyo inatokana na maamuzi ya Mahakama Kuu Masjala ya…

William Ruto: Taifa limempoteza mzalendo na mwanamageuzi wa kweli

Rais William Ruto aliongoza taifa kuomboleza, akimtaja Odinga kuwa “mzalendo wa taifa ambaye ujasiri na kujitolea kwake viliunda njia ya Kenya kuelekea demokrasia na umoja. ” Viongozi kutoka barani Afrika akiwemo Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini, Nana Akufo-Addo wa…