JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Trump aunganisha tishio la Greenland na kutokabidhiwa Tuzo ya Amani ya Nobel

Rais wa Marekani, Donald Trump, ameunganisha juhudi zake za kudai udhibiti wa Greenland na kushindwa kwake kushinda Tuzo ya Amani ya Nobel, akisema hakuwahi tena kufikiria “kwa amani tu,” huku mgogoro wa kisiwa cha Aktiki ukionekana kuweza kusababisha vita vya…

EU yaonya kuwa ushuru wa Trump utahatarisha hali ya kiuchumi

Mataifa yenye nguvu barani Ulaya yameonya jana kuwa vitisho vya ushuru vya Rais wa Marekani Donald Trump juu ya Greenland vinahatarisha hali ya kiuchumi wakati yakijaribu kupima jibu la mzozo huo unaopanuka. Katika taarifa ya pamoja, Denmark, Finland, Ufaransa, Ujerumani,…

Dawa na vifaa tiba vya milioni 822.8 vyakamatwa Tabora

Na Allan Kitwe, JmahuriMedia, Tabora MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Magharibi imefanya oparesheni maalumu na kufanikiwa kukamata dawa zenye thamani ya sh mil 822.8 zilizokuwa zinauzwa kinyume na utaratibu.   Hayo yamebainishwa jana na Meneja wa…

Miradi 82 ya biashara ya kaboni yasajiliwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Massauni amesema mpaka sasa jumla ya Miradi 82 ya Biashara ya Kaboni ipo kwenye rejesta na kati ya hiyo, Miradi 4 imeshafika kwenye…

Sangu : Bodi ya wadhamini WCF kutekeleza dira 2050

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma BODI ya Wadhamini ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) imetakiwa kuweka mikakati ya kuanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili mfuko uchangie katika kutoa huduma bora zaidi ikiwemo kuongeza uzalishaji ajira…

Ukraine: Diplomasia si kipaumbele kwa Urusi

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amesema kuwa kama Urusi ingetaka kweli kumaliza vita, ingejikita katika diplomasia badala ya kujaribu kudhuru mitambo ya nyuklia ya Ukraine. “Iwapo Warusi wangekuwa na nia ya dhati ya kumaliza vita, wangejikita kwenye diplomasia, siyo mashambulizi…