JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wiki ya Mazingira Butiama yaibua changamoto lukuki

Juni Mosi hadi 4, mwaka huu Serikali iliadhimisha Wiki ya Mazingira Duniani kijijini Butiama ikiwakilishwa na kuongozwa na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, ambaye ofisi yake ndiyo ina jukumu la kusimamia masuala ya mazingira nchini. Ni wiki iliyosheheni…

Kuzishitaki kampuni za madini kurejesha hasara tuliyopata

Mikataba yote ya kimataifa huongozwa na wajibu wa aina mbili. Wajibu ulioandikwa (express obligation) na wajibu ambao haukuandikwa (implied obligation). Wajibu ulioandikwa ni masharti yote ya mkataba yaliyo katika maandishi ambayo wahusika husoma na kuridhia, wakati wajibu usioandikwa ni masharti…

Nyambui: Tuwekeze kwenye riadha

Kocha wa Riadha wa Timu ya Taifa la Brunei, ambaye pia amepata kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui, amekishauri Chama cha Riadha kuwekeza nguvu nyingi katika ujenzi wa misingi mizuri kwa watoto wenye vipaji.  …

Mapya yamfika Muhongo

Mambo hubadilika ghafla. Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, anatarajiwa kuhojiwa na vyombo vya usalama leo kutokana na sakata la mchanga wenye madini. Habari za uhakika zilizolifikia JAMHURI zimethibitisha kuwa Prof. Muhongo atahojiwa kuhusiana na ripoti ya…

Kimenuka REA

Baadhi ya kampuni zilizoomba zabuni kwenye Awamu ya Tatu ya Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu II, zimeghushi nyaraka. Mradi huo wenye thamani inayokaribia Sh trilioni moja, unalenga kufikisha umeme wa gridi kwenye vijiji 3,559 katika mikoa 25 ya…

Asotea mafao PPF miaka 15

Stanslaus Mlungu (78), aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na kustaafu kazi Desemba 31, 1991 kutokana na matatizo ya kiafya, amelalamika kwamba ameibwa fedha zake za pensheni na watumishi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF mwaka 1992. Mlungu…