Latest Posts
Ndugu Rais Tumeipuuzia Asili Aasa Tunawayawaya
Ndugu Rais, Tanzania kama sehemu nyingine ya Afrika tulikuwa na mambo mengi sana ya asili ambayo tumeyatelekeza baada ya wakoloni kuja kutuamulia yapi tuyaendeleze na yapi tuyatupe kabisa. Ni kweli sikumbuki ni lipi la asili ambalo wakoloni walituachia wakitutaka tuliendeleze….
KESI YA LEMA KUTOA MANENO YA UCHOCHEZI DHIDI YA JPM: USHAHIDI WAANZA KUTOLEWA
Shahidi wa kwanza katika kesi ya kudaiwa kutoa lugha ya uchochezi dhidi ya Rais John Magufuli inayomkabili mbunge wa jimbo la Arusha mjini, Godbless Lema ameieleza mahakama kwamba alimtolea bastola mbunge huyo kwa kuwa alikuwa akijaribu kutoroka. Shahidi huyo, Damas Masawe…
JPM: WANAOPOTOSHA ‘VYUMA VIMEKAZA’ WASHUGHULIKIWE
RAIS Dkt. John Magufuli ametoa agizo kwa Mamlaka ya Takwimu ya Taifa (NBS) kuwachukuliwa hatua haraka mashirika, taasisi na watu wanaotoa takwimu potofu kuhusu ukuaji wa uchumi wa nchi na mambo mengine ya serikali ikiwemo kuwakamata na kuwafikisha mahakamani. “Wanaosema…
ALIYETEULIWA KUWANIA UBUNGE WA SINGIDA KASKAZINI KWA TIKETI YA CHADEMA AJIENGUA
SIKU moja baada ya NEC kuanika majina ya wagombe huku jina lake likitajwa kuwa miongoni mwao, Djumbe Joseph aliyepitishwa na (NEC) kugombea ubunge Jimbo la Singida Kaskazini kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameandika barua ya kujitoa…
JPM ABAINI AIRTEL NI MALI YA SERIKALI KWA ASILIMIA 100
RAIS John Magufuli amesema Serikali imebaini kuwa kampuni ya Mawasiliano ya Bharti Airtel ni mali ya Shirika la Mawasiliani Tanzania (TTCL) kumwagiza Waziri wa fedha na mipango kufuatilia suala hilo haraka ili Airtel irudishwe kumilikiwa na serikali. Rais ameyasema hayo…
Mfuko wa Jimbo ni ukiukaji Katiba
Moja ya hukumu murua kabisa kutolewa na mahakama ya juu kabisa nchini Kenya hivi karibuni, inahusu Mfuko wa Jimbo kwa kutamka pasipo kumung’unya maneno kuwa ni haramu kwa mbunge kugeuka mtendaji wa fedha za umma. Majaji wa Mahakama ya Rufaa…





