Latest Posts
CCM imeendelea kumuenzi hayati mwalimu Nyerere katika misingi ya utawala bora – Dk Samia
Mgombe wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 amesema CCM imeendelea kumuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere katika misingi ya utawala bora….
THBUB yalaani tukio la kutekwa kwa Polepole
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imelaani tukio la taarifa za kushambuliwa na kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Mhe. Humphrey Polepole, tukio lililodaiwa kufanywa na watu wasiojulikana tarehe 6…
ACT Mabale yaahidi bima ya afya kwa wazee na wajane
Na Theophilida Felician, JamhuriMedia, Kagera Mgombea udiwani kupitia tiketi ya ACT WAZALENDO kata Mabale jimbo la Misenyi mkoani Kagera Mhandisi Sweetberty Kaizilege Jonh amewaahidi bima ya afya kundi la wazee na wajane ili kuwasadia kupata matibabu bure. Mgombea Sweetberty ameyabainisha…
Chalamila Azindua Programu ya ‘Konekt Umeme, Pika kwa Umeme’
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, leo Oktoba 9, 2025, amezindua rasmi programu ya “Konekt Umeme, Pika kwa Umeme”, ubunifu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) unaolenga kuongeza matumizi ya…





