Latest Posts
Msajili Hazina ashiriki uzinduzi ujenzi mgodi wa madini Kinywe
Na Mwandishi wa OMH Mahenge, Morogoro. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, ameshiriki uzinduzi wa shughuli za ujenzi wa mgodi wa madini ya kinywe (graphite), uliofanywa na Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, katika hafla iliyofanyika Alhamisi, Oktoba 9, 2025,…
Samia asema CCM haikomoki,kufufua bandari Musoma
Na Kulwa Karedia, Jamhuri Media Musoma Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amesema ndani ya Mkoa wa Mara kuna watu wamenuna nuna, wanachochea na kusaidia wagombea wa vyama vya upinzani ili waikomoe CCM. Rais Samia…
Makonda : Tafakari kwanza kabla ya kupiga kura Oktoba 29
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema kuwa wakati wa kupiga kura Oktoba 29, wananchi wanapaswa kutafakari mambo yaliyoko katika maeneo yao na kuchagua chama chenye uwezo wa kuyatekeleza kwa mujibu wa…
Wasira atahadharisha kikundi cha chokochoko kwenye mitandao
Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media- BUNDA MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, ametoa tahadhari kwa wananchi dhidi ya kikundi cha watu wachache wanaoleta chokochoko katika mitandao ya kijamii wanaotaka kuvuruga amani. Amesema kikundi hicho ni miongoni…
Kangi asema Rais Samia si nguvu ya soda
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola amesema nguvu ya maendeleo inayofanwa na mgombea urais wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan si nguvu ya soda. Lugola ametoa kauli hiyo wakati akisalimia wananchi wa Jimbo la Bunda mkoani Mara wakati…
Vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa kupunguzwa
Umoja wa Mataifa utalazimika kupunguza vikosi vyake vya kulinda amani duniani kote kwa karibu asilimia 25. Umoja wa Mataifa utalazimika kupunguza vikosi vyake vya kulinda amani duniani kote kwa karibu asilimia 25 kutokana na ukosefu wa fedha, unaohusishwa zaidi na…





