JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ujenzi daraja la Kipanda laleta hauni kwa wakazi vijiji viwili Momba

Momba, Songwe Kukamilika kwa ujenzi wa daraja la Kipanda lenye urefu wa mita 20 na upana mita 7 kumeleta ahueni kwa wakazi wa vijiji vya Namsinde na Mfuto kuzifikia kwa urahisi huduma za kijamii na kiutawala zinazopatikana Makao Makuu ya…

TAKUKURU: Miradi ya bil 1/- Moro haijakidhi viwango

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Morogoro imebaini utekelezaji hafifu usiokidhi viwango miradi 12 ya maendeleo ikiwemo ujenzi, afya na elimu yenye thamani ya Sh bilioni 1.26. Mkuu wa TAKUKURU mkoa huo ,Pilly Mwakasege amesema hayo…

Polisi: Tupo tayari kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani na kwa haki

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Moshi JESHI la Polisi nchini limesema halitamvumilia mtu yeyote au kikundi chochote ambacho kitajihusisha na vurugu wakati wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu. Aidha, jeshi hilo limesema liko tayari kuhakikisha uchaguzi huo unafanyika kwa…

Samia: Yaliyopo ndani ya Ilani ya CCM yanatekelezeka

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 imeshiba, ni ya ushindi, imepangiliwa bila kuacha kitu na yaliyopo ndani yanatekelezeka kuendana na mpango na uwezo uliopo. Rais…

Waandishi wa habari watakiwa kuandika habari zinazoeleza umuhimu wa maadili kwa viongozi wa umma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kamishna wa Maadili Mhe. Jaji (Stahiki) Sivangilwa Mwangesi amesema Sekretarieti ya Maadili itaendeleza ushirikiano na vyombo vya Habari nchini na kuvitaka kuendelea kuandika habari zinazoeleza umuhimu wa Maadili kwa Viongozi wa Umma. Jaji…

REA yahamasisha wananchi kutumia mkaa mbadala

📌Yasisitiza ni salama, gharama nafuu na ni rafiki wa mazingira 📌Yathibitisha kuendelea kuwawezesha wazalishaji wake Wakala wa Nishati Vijijini unahamasisha wananchi kote nchini kutumia nishati safi ya kupikia ikiwemo Mkaa mbadala ambao umeelezwa kuwa na gharama nafuu na ni salama…