Latest Posts
Nafasi ya Kazi: Waandishi wa Habari(Trainee Journalists) Anahitajika Haraka
Job Opportunity Jamhuri Media Limited (JML), publishers of a weekly Investigative Newspaper, JAMHURI and a newly registered Magazine, THE REPUBLICAN, from June 1, 2017 entered into a 15 month contract with Tanzania Media Foundation (TMF) to embark on Institutional Transformation…
Haya Hapa Magazeti ya Leo Disemba 21, 2017
Kam upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Alhamisi Disemba, 21, 2017 nimekuekea hapa.
Ni Kazi Kumpata Rafiki wa Kweli
Maisha ni urafiki. Mwanafalsafa mwenye asili ya Kiafrika Martin Luther Jr. King alipata kusema hivi, “Ukimya wa marafiki zetu unaumiza kuliko kelele za madui zetu”. Rafiki wa kweli ni rafiki siku zote. Mwenyezi Mungu ni rafikiwa kweli katika maisha yetu…
Miaka 44 Gerezani
Ni mfungwa wa aina yake nchini. Ameingia gerezani vyama tawala vikiwa ni Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shiraz (ASP). Chama Cha Mapinduzi kimezaliwa mwaka 1977 akiwa gerezani. Amewekwa gerezani wakati ambao Tanzania haikujua kama itapigana na Uganda kwenye vita…
Mafanikio Yoyote Yana Sababu (2)
Kufikiria vizuri ni sababu ya mafanikio. Tazama mbele ufikiri. Papa Fransisko alisema kuna lugha tatu: ya kwanza fikiria vizuri, ya pili hisi vizuri, ya tatu tenda vizuri. Kufikiria vizuri ni msingi wa mafanikio. Kuna aina mbalimbali za kufikiri. Kwanza ni…




