Latest Posts
Rais Samia aridhia ajira mpya 300 TRA
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kuongeza nafasi za ajira 300 katika mamlaka hiyo. Taarifa ya Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala TRA, Moshi Kabengwe kwa niaba ya Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph…
Majaliwa akutana na Waziri Mkuu wa Japan
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Japan, Ishiba Shigeru ambaye amemuhakikishia kuwa nchi hiyo itaendelea kuimarisha ushirikiano na Tanzania jambo ambalo linalenga kuchochea ukuaji wa uchumi kutokana na fursa zitakazoendelea kupatikana kupitia mahusiano hayo. Amekutana na kiongozi…
Daktari Ufaransa aenda jela miaka 20 kwa kuwabaka wagonjwa 229
Mahakama ya Ufaransa imetoa kifungo cha juu cha miaka 20 jela kwa daktari bingwa wa upasuaji ambaye alikiri kuwadhulumu kingono mamia ya wagonjwa, wengi wao wakiwa watoto, kwa zaidi ya miongo miwili. Kesi hiyo iliyodumu kwa miezi mitatu ya Joel…
Trump ‘ampa wiki mbili’ Putin
Rais wa Marekani Donald Trump ameonekana kumuwekea Vladimir Putin makataa ya wiki mbili, akitishia kuchukua mkondo tofauti ikiwa mwenzake wa Urusi bado ataendelea kumrejesha nyuma kwa vitendo vyake. Wakati Urusi ikizidisha mashambulizi yake dhidi ya Ukraine, Trump aliulizwa katika Ikulu…
Waziri Mkuu aendelea kuwashawishi wa Japan kuwekeza nchini
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameendelea kuwashawishi wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa wa Japan kuja kuwekeza kwenye sekta za kilimo, afya, uchumi wa buluu, nishati, miundombinu, ufugaji na TEHAMA kwani Serikali imeshaboresha mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji. Ameyasema hayo leo (Jumatano, Mei 28,…
Atakumbukwa daima mpiganaji wa haki na msomi wa fasihi Ngugi wa Thiong’o
Na Mwandishi Maalum Ngugi wa Thiong’o, gwiji wa fasihi kutoka Kenya na mpigania haki kwa njia ya kalamu, ameaga dunia akiwa na miaka 87. Kazi zake zilijikita katika kupinga ukoloni wa kiakili, na kuhimiza matumizi ya lugha za Kiafrika. Ngugi…