Latest Posts
Sudan Kusini yaamuru raia kuondoka maeneo ya Jonglei
Jeshi la Sudan Kusini limeamuru raia wote pamoja na wafanyakazi wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa na wahudumu wote wa mashirika ya msaada kuondoka katika kaunti tatu za Jimbo la Jonglei, kabla ya operesheni ya kijeshi. Jeshi la Sudan Kusini…
Serikali yawezesha kuanzishwa kwa kituo cha kisasa cha teknolojia ya madini muhimu nchini
● Ni matokeo ya MoU kati ya GST na Taasisi ya KIGAM kutoka Korea ya Kusini, ● Utekelezaji wa mradi huo kugharimu Bilioni 40 za Kitanzania ● Wataalam kutoka GST kujengewa uwezo ● Wachimbaji wadogo kupatiwa Mafunzo malum Wizara ya…
Tanzania yatoa uhakika London, kuwa ni salama, thabiti na tayari kwa uwekezaji
London, Uingereza — Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (Mb.), amewahakikishia wawekezaji wa Uingereza kwamba Tanzania ni nchi salama, yenye uthabiti wa kisiasa, na inayotekeleza maboresho endelevu ya mazingira bora na rafiki kwa…
Obama, Clinton wakemea mauaji ya raia wa Marekani
Marais wa zamani wa Marekani Barack Obama na Bill Clinton, wametoa wito kwa Wamarekani kusimama na kutetea maadili ya nchi yao baada ya mauaji ya pili ya raia mjini Minneapolis. Marais wa zamani wa Marekani Barack Obama na Bill Clinton,…
Urusi: Mazungumzo na Ukraine huko UAE yalikuwa chanya
Ikulu ya Urusi Kremlin, imesema hii leo kwamba mazungumzo ya pande tatu yaliyoratibiwa na Marekani huko Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kati ya wajumbe wa Urusi na Ukraine yalifanyika kwa mtazamo wa kujenga. hIkulu ya Urusi Kremlin, imesema hii…
Milioni 675/-kutekeleza mradi wa ujenzi na upanuzi wa Kituo cha Afya Mailimoja Tabora
Na OWM – TAMISEMI, Tabora Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali imetoa Shilingi milioni 675 kutekeleza mradi wa ujenzi na upanuzi wa Kituo cha Afya Mailimoja cha Manispaa ya Tabora, ili kuboresha huduma…





