JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wananchi Njombe wahamasisha kupata huduma za madaktari wa Rais Samia

Na WAF, Njombe Wananchi mkoani Njombe wameshimdwa kuficha hisia zao mara baada yakupatiwa matibabu na kuamua kuhamasishana wao kwa wao kuhudhuria kambi ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia inayoendea hivi sasa katika halmashauri zote za mkoa huo, kwani muda wa…

Ridhiwan akutana na balozi wa China nchini

✅ Wateta kuistawisha Sekta ya Kazi, Vijana, Ajira na Huduma kwa Watu wenye Ulemavu Na Mwandiahi Wetu, Jamhurimedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwan Kikwete amekutana na…

Mpango wa ‘Gurudumu la Mama’ wazinduliwa; hatua ya kuwainua vijana na kuzuia ajali

Na Dotto Kwilasa, Jamhuri Media, Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, amezindua rasmi kampeni ya kitaifa ya “Gurudumu la Mama”,ambayo ni mpango maalum wa kuwawezesha waendesha Pikipiki maarufu kana Bodaboda na bajaji kupata matairi mapya kwa mpango nafuu…

Zaidi ya migodi 13,000 yakaguliwa

• Wakaguzi wa Migodi Wajengewa Uwezo• Makusanyo Sekta ya Madini Yavuka Lengo Na Mwandiahi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza JUMLA ya migodi 13,279 pamoja na bohari za baruti 164 zimekaguliwa nchini kuanzia Julai 2024 hadi Machi 2025. Hayo yameelezwa leo Mei 28,…