Latest Posts
Lesotho wavutiwa na REA
📌Wampongeza Rais Samia katika suala la uhamasishaji wa nishati safi ya kupikia 📌Watoa mwaliko kwa wataalam wa REA kutembelea Lesotho kuwapatia uzoefu Serikali ya Lesotho imevutiwa na namna ambavyo Serikali ya Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijiji (REA) imepiga hatua…
Dar kinara makusanyo ya maduhuli
Soko la madini, madini ya ujenzi na viwandani yaibeba Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkoa wa Dar es Salaam umeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini kwa mwaka wa fedha 2024/2025, baada…
Wizara ya Maendeleo ya Jamii yatangaza vipaumbele vitano vya mageuzi kwa 2025/2026
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Makundi Maalum imetaja vipaumbele vitano itakavyovitekeleza katika mwaka wa fedha 2025/2026, vikiwa na lengo la kuimarisha ustawi wa jamii, kukuza usawa wa kijinsia na kuleta maendeleo jumuishi kwa…
Wanafunzi waliopata mikopo waongezeka kwa asilimia 39.6, Serikali yatenga bilioni 787/-
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia l, Dodoma Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), imetangaza kuongezeka kwa bajeti ya mikopo kwa vyuo vya elimu ya juu kutoka Shilingi bilioni 570 hadi bilioni 787 katika kipindi cha miaka minne,…
PUMA Energy Tanzania kupitia upya mpango mkakati wa biashara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wawekezaji wa PUMA Energy Tanzania, ambao ni Serikali ya Tanzania na Puma Investments Limited, wamekubaliana kufanya mapitio ya mpango mkakati wa biashara wa kampuni hiyo ndani ya mwaka huu. Mpango huu mpya wa…
Museveni, mkewe waomba radhi yaliyotetokea Uganda
Rais Yoweri Museveni na mkewe wameomba msamaha katika tukio ambalo ni nadra sana na kukubali kutokea kwa makosa ya hapa na pale katika mkutano uliofanyika uwanja wa Uhuru wa Kololo, viungani mwa jijini kuu la Kampala, Uganda. Museveni na mkewe…