Latest Posts
Je, Mwalimu Nyerere aliunyonga ujasiriamali?
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliamua kuanzisha mfumo wa kiuchumi wa Ujamaa na Kujitegemea, mara tu baada ya Tanganyika kujipatia uhuru wake.
Mwalimu Nyerere kuking’oa CCM madarakani?
Tunaojua historia ya uongozi wa Mwalimu Julius Nyerere, hatusiti kutamka wazi kwamba Mwasisi huyo wa Taifa letu huenda akaking’oa madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM) siku si nyingi zijazo.
‘Kikitokea chama kama CCM ya Nyerere kitatawala milele’
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alidhamiria kuifanya Tanzania kuwa paradiso.
“Mwalimu alitaka kujenga paradiso ya hapa duniani katika nchi hii. Kama tungetekeleza misingi aliyotuwekea, Tanzania ingekuwa paradiso.” Haya ni maneno ya Ibrahim Kaduma (75).
Kaduma ameshika nyadhifa mbalimbali, zikiwamo za ukurugenzi na uwaziri katika Serikali ya Awau ya Kwanza.
‘Dokta Nchia’: Mpishi wa Nyerere
*Asema Mwalimu alipofungwa bao hakula
“Dokta Nchia”, kama Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alivyopenda kumuita, hakuwa daktari wa binadamu au mifugo. Alikuwa daktari wa mlo.
Simulizi ya mjukuu wa Mwalimu Julius kambarage Nyerere
*Amepata kuswekwa rumande kwa kuendesha trekta
Petro John Nyerere ni mmoja wa wajukuu wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Baba yake ni John Guido Nyerere, mtoto wa nne wa Baba wa Taifa. Petro ni mmoja wa wajukuu wachache kati ya wengi walioishi muda mrefu na babu yao pamoja na bibi yao, Mama Maria Nyerere.
Tumuenzi Nyerere kwa kufifisha udini
Oktoba 14, mwaka huu, mwasisi na Baba wa Taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ametimiza miaka 13 tangu afariki dunia. Siku ya kuadhimisha kifo chake, tumeusikia ujumbe mzito kutoka serikalini, taasisi mbalimbali na watu binafsi, wote wakiahidi kumuenzi kwa mema yote aliyoyatenda.