JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mjasiriamali unalindaje mali zako?

Wiki takribani tatu zilizopita niliandika makala kuhusu fursa ya kilimo cha miti. Nina furaha kubwa kuwajulisha kuwa watu wengi wamekuwa na mwitikio mkubwa na wamechangamkia fursa ile. Ninapenda kuwatambua ndugu wawili (sitawataja majina) ambao wiki iliyopita walisafiri kutoka Tabora hadi hapa Iringa kuwahi fursa ya kilimo cha miti.

Lisemwalo kuhusu Mbunge Wenje lisipuuzwe

 

Kwa kitambo sasa, Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza, Ezekiel Wenje (Chadema), anatuhumiwa kuendesha kwa siri mkakati wa kuhujumu harakati za vijana wanaoonekana kuwa tishio la wadhifa wake huo.

Baada ya Ziwa Nyasa, mgogoro sasa waibuka Ziwa Kitangiri

Umiliki wa Ziwa Kitangiri unafanana na mgogoro uliopo sasa wa mpaka kati ya Tanzania na Malawi katika Ziwa Nyasa. Wakati mgogoro wa Malawi ukipewa kipaumbele, huu wa Ziwa Kitangiri linalotenganisha wilaya za Meatu na Iramba haujapewa msukumo wa kutosha.

Mwalimu wa Mwalimu Nyerere alivyoagwa 

*Pinda asema yeye ndiye Mwalimu Mkuu wa Taifa letu

*Afa akidai malipo ya kiinua mgongo, fedha za usafiri

*Serikali yaahidi kuendelea kumtunza mjane wake

Mwalimu James Zangara Irenge ndiye Mwalimu wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyekuwa bado hai hadi Julai, mwaka huu. Anatambulika kama mmoja wa watu waliomsaidia Mwalimu Nyerere kwa kumjengea misingi imara ya elimu iliyomwezesha kuwa mmoja wa wasomi mahiri duniani.

Kuwafutia leseni hakutoshi, washitakiwe

Mojawapo ya habari zilizobeba uzito katika gazeti hili ni ile inayohusu uchakachuaji wa mbolea, ambao umekuwa ukichangia kudhoofisha juhudi za wakulima katika kujiondolea umaskini.

Rais Kikwete tuokoe Karagwe, Runyogote anatumaliza

Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Mrisho Kikwete, Salaam. Mei 30, 2012, madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe, walimwandikia Mkurugenzi Mtendaji barua wakimtaka aitishe kikao maalumu cha Baraza la Madiwani, kujadili tuhuma mbalimbali za ufisadi walizozielekeza kwa Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Kashunju Runyogote.