Latest Posts
Waziri Kagasheki atazame kasoro hii
Mhariri Kwanza tunampongeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki kwa jitihada anazozifanya za kusafisha Wizara ya Maliasili na Utalii na Taasisi zake kwa jumla kwa kuondoa uozo uliokuwamo ndani kwa kipindi kirefu. Wakati jitihanda hizo zikifanyika,…
Mandela: Urafiki na adui yako
“Ikiwa unataka kupata amani na adui yako, unapaswa kufanya kazi na adui yako, kisha anageuka na kuwa mdau wako.” Haya ni maneno ya Rais wa Kwanza wa Afrika Kusini, Nelson Mandela aliyemaliza vita ya ubaguzi wa rangi kwa kutumia mfumo…
Mgogoro wa Tanzania, Malawi ngoma mbichi
*Malawi waendelea kukomaa wachukue ziwa lote
*Tanzania yasema mgawo ni nusu kwa nusu tu
*Wazee wa hekima Afrika kuitwa kusuluhisha
*Wasipoafikiana kutinga Mahakama ya ICJ
*Yote hayo yakishindikana JWTZ wataamua
Kumekuwapo desturi ya wanasiasa kutafuta jambo la kuwawezesha kuwajenga kisiasa, ili waweze kushinda uchaguzi, hasa Uchaguzi Mkuu. Mzozo wa mpaka wa Ziwa Nyasa unaozihusisha nchi za Tanzania na Malawi unatajwa kuwamo mwenye mtiririko huo wa kidesturi. Malawi inatarajia kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka 2014, hivyo kete inayotumiwa na chama cha Rais Joyce Banda, pamoja na vyama vingine vya siasa ni kutaka kutunisha msuli kupitia mzozo wa mpaka kati yao na Tanzania kwa lengo la kujipa kuungwa mkono na Wamalawi wengi.
Mkurugenzi mzee king’ang’anizi Morogoro
*Mbunge Shabiby alia naye, alalamikia ukabila
Kwenye Mkutano wa Nane wa Bunge uliomalizika hivi karibuni, Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby, alizungumzia kero ya maji jimboni kwake na mkoani Morogoro kwa jumla. Alishangazwa na Mkurugenzi wa MORUWASA kuendelea kuajiriwa licha ya kuzeeka, na pia alihoji ukabila ndani ya mamlaka hiyo. Endelea
MCT wameonyesha njia, wanahabari tubadili nchi
Wiki mbili zilizopita nilipata fursa ya kwenda katika mikoa ya Tabora na Kigoma, kwa ajili ya kufundisha waandishi wa habari Azimio la Dar es Salaam juu ya Uhuru wa Uhariri na Uwajibikaji.
Dk. Slaa ‘ammaliza’ Sitta
Tea/sept2
lead
*Amwanika alivyohaha kujiunga Chadema
*Aeleza alivyotumia Uspika kuasi CCM
*Afichua hotuba aliyoandaa kujitoa
Siri za mkakati wa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, wa kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), zimeanza kuvuja.