Latest Posts
Hospitali ya Jeshi Lugalo kupandishwa daraja
Serikali imeaanza mipango ya kuipandisha Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Lugalo, kuwa Hospitali ya Rufaa, Bunge limeelezwa.
HOTUBA YA WAZIRI WA UJENZI
UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, baada ya Bunge lako Tukufu kupokea taarifa iliyowasilishwa leo hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu likubali kupokea, kujadili na kupitisha Mpango wa Maendeleo na Makadirio…
Lundenga: Miss Tanzania imeitangaza nchi
Kwa muda wa miaka 18 iliyopita, mashindano ya Mrembo wa Tanzania yamekuza utamaduni, utalii na uwekezaji wa kigeni. Si hilo tu, mashindano haya yamewapa fursa mpya ya kujitambua wasichana Watanzania, anasema mwandaaji wa mashindano hayo, Hashim Lundenga.
Chadema sasa wadai rasmi Serikali ya Tanganyika
Hii ni sehemu ya maoni ya Msemaji Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Tundu Lissu kuhusu Mpango wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) kwa mwaka wa fedha wa 2012/2013. Endelea
Katika maoni yetu kuhusu Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni ilionyesha jinsi ambavyo “tafsiri hii mpya ya Makubaliano ya Muungano na Katiba ya Jamhuri ya Muungano imetiliwa nguvu kubwa na Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ambayo imeipa Zanzibar nafasi na ushawishi mkubwa katika utungaji wa Katiba Mpya.”
Vituko vya Jeshi la Polisi
*Lakodi kina mama ili wawapekue watuhumiwa Kituo cha Polisi Mbuguni, Arumeru Mashariki mkoani Arusha, kinalazimika kukodi wanawake wanaoishi jirani na kituo hicho ili kuwafanyia upekuzi watuhumiwa wanawake kabla ya kuwaweka mahabusu. Kukodiwa kwa kina mama majirani kunatokana na…
Bilionea akubaliwa kujenga uwanja Serengeti
Mamlaka zote za Serikali zimeridhia ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mugumu, Serengeti mkoani Mara.
- THRDC yatoa Jacketi za usalama kwa JOWUTA
- Dk Biteko aipongeza ETDCO kwa kutekeleza mradi wa kusafirisha umeme Tabora Urambo
- BoT yatoa katazo la matumizi ya fedha za kigeni kufanya malipo
- Bunge lapitisha kwa kishindo bajeti ya madini bilioni 224.98 kwa mwaka 2025/2026
- Serikali yavuna bilioni 726, 219 sekta ya madini
Habari mpya
- THRDC yatoa Jacketi za usalama kwa JOWUTA
- Dk Biteko aipongeza ETDCO kwa kutekeleza mradi wa kusafirisha umeme Tabora Urambo
- BoT yatoa katazo la matumizi ya fedha za kigeni kufanya malipo
- Bunge lapitisha kwa kishindo bajeti ya madini bilioni 224.98 kwa mwaka 2025/2026
- Serikali yavuna bilioni 726, 219 sekta ya madini
- NIDA yamnasa mtengeneza vitambulisho feki
- TLS yalaani vitendo vya ukiukwaji wa haki
- Mwenge wapita Mufindi, mradi wa REA wa bilioni 17 wazinduliwa
- Sekta ya nishati ipo salama chini ya Rais Samia – Dk Biteko
- TARURA kuanza kutangaza zabuni za mwaka 2025/2026
- Tanzania yanadi fursa za biashara na wawekezaji Vietnam
- Tume ya TEHAMA ilivyoshiriki kwa mafanikio sherehe za Mei Mosi
- Halmashauri zatakiwa kusimamia sheria ya mazingira
- Man United na Tottenham zaona ‘mwezi’ michuano ya Europa
- Kujiondoa kwa Marekani kutatingisha pakubwa miradi ya kiafya – WHO