Latest Posts
Jaji Warioba matatani
*Mtendaji TBA aagiza afukuzwe alikopanga *Yono wakabidhiwa kazi ya kumwondoa *Amri ya Mahakama inayomlinda yapuuzwa *Yeye asema hadaiwi, polisi wasita kumwondoa NA MANYERERE JACKTON Waziri Mkuu na Makamu wa Rais (mstaafu), Jaji Joseph Warioba, anafukuzwa kwenye…
Chini ya Kapeti, Meneja wa Chelsea Antonio Conte Kuondoka Chelsea
Meneja wa Chelsea Antonio Conte anatarajiwa kuondoka Chelsea kwa saa 48 zijazo na nafasi yake huwenda ikachukuliwa na Meneja wa zamani wa Barcelona Luis Enrique.
Nicolas Maduro Ashinda Tena Uchaguzi Nchini Venuzuela
Rais wa Venezuela Nicolás Maduro, ameshinda uchanguzi kwa awamu ya sita kwenye uchaguzi uliokubwa na ususiaji kutoka chama kikuu cha upizani kwa madai ya udanganyifu wa kura. Kutokana na upungufu wa chakula unaosababishwa na changamoto za kiuchumi , asilimia 46,…
Andres Iniesta Atandika Daluga Barcelona
Andres Iniesta amekamilisha huduma yake ya kuichezea Barcelona katika mechi ambayo Barcelona imewaadhibu Real Sociedad wakati wa mechi za mwisho za La Liga. Iniesta ameagwa kishujaa kwani mashabiki waliunda maandishi ya kumuaga, uwanja ukawashwa taa maalumu kwa ajili yake na…
Njombe Mji FC Kubaki Ligi Kuu ni Kudra za Mwenyezi Mungu tu
Kikosi cha Mtibwa Sugar kimepeleka maumivu mjini Njombe kwa kuifunga Njombe Mji FC bao 1-0 na kuondoa rasmi ndoto za kuendelea kusalia kunako Ligi Kuu Bara msimu ujao. Bao pekee la Mtibwa katika mchezo huo uliopigwa Uwanja wa Sabasaba mjini…




