Ndugu Rais, hakuna siku uliuchoma moyo wangu kama siku ile uliyo
wazi, tena kwa umakini mkubwa huku ukionyesha waziwazi kuwa
makali ya hisia katika kifua chako. Ukafika mahali ukashindwa kujizuia
Naona uchungu ulikuzidi. Ilipokuja afueni, ukatulia kidogo. Na kama
lilikujia, kwa unyenyekevu mkubwa ukasema: “Nadhani mimi si mwanasiasi
Kikafuata kimya kingi. Baba, maneno yako yaliuumiza sana moyo wangu
Kwa kauli ile wengi walikuhurumia. Baba wewe ni mkweli, tena mkweli
katika kweli kwa sababu tunaambiwa Mungu ni kweli.
Kama kweli mwanasiasa mzuri ni yule mwongo mwongo, basi kuwa wewe si mwanasiasa mzuri.
Ulipoanza kutenda kazi kama rais wetu, kwa upole sana uliwaambia
ukisema: “Walidhani nitakuwa pamoja nao!” Maneno haya baba,
na wanyonge wa nchi hii faraja kubwa!
Wakadhani mbingu imefunguka. Waliokuwa wamekata tamaa
Wakajua wakati wa mabadiliko umewadia.
Ndugu Rais, kilichowavutia wengi, wenye vyama na wengine tusio
haukuwa na vikundi. Ulikuwa na sifa ya mchapakazi hodari.
Ungebaki vilevile leo hii tungekuwa na maisha kama ya bustani ya
baba umesongwa na mavuvuzela kama miche inavyosongwa na
Watekaji, watesaji na wauaji wasiojulikana ndio haohao nao wamel
blanketi
la simanzi ya kudumu na majonzi yasiyokoma. Wavue mavuvuzela
Mwaka 2020 ni hii hapa. Mavuvuzela wanaandika: “Waliahidi kuele
urais, wanatekeleza.” Utafika kule ambako hakuna hata barabara. Watakapokuuliza, ni lini ulifika hapa ukatuahidi treni na sasa unatek
lini? Utakapofika kule ambako mama bado wanajifungulia njiani wa
huko ukawaahidi
ndege, utasema ilikuwa ni lini?
Maswali haya wanakutengenezea mavuvuzela. Kwa mavuvuzela, w
wanakupamba. Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
zinazorudiwarudiwa na ITV, anasema: “Tulipoishika nchi, tulitaka ku
maendeleo kwa haraka.

Lakini tulifanya ujinga mkubwa, tulianza kwa kuitazama ‘Europe’, U
inamelemeta. Tukaitazama, Amerika, North Amerika tukaona inawa
hayo ndiyo maendeleo.
Kumbe maendeleo ya vitu.”
Picha za vitu ambavyo Baba wa Taifa anaita ujinga, ndizo mavuvuz
kuwazungushia viongozi wetu wakuu wakidhani wanawapamba.
Tausi mzuri hahitaji mapambo! Baba wa Taifa kule Mbeya alisema:
wanataka mgombea atakayeshughulika na umaskini wao. Atakayes
za afya mahospitalini.
“Wanataka mabadiliko katika hali zao za afya mahospitalini. Watanz
wa kutembea na kutoa mawazo yao. Hawataki kuishi maisha ya ho
kwa zahanati hata moja iliyojaa dawa au darasa lililokamilika. Wanawema majina ya watu huwasema walivyo. Akiitwa Tabu maish
faraja ni vya wengine. Vyake ni shida na tabu. Hakuna msiba bila k
wake hajui. Hautawasikia hata siku moja wa-msiba wakihubiri aman
Zao ni chuki, fitina wakielekeza katika kuuana. Waonyeshe basi pa
rais anaweza akasimama kifua mbele na kusema: “Wana wema ni
bado ananunua dawa mwenyewe dukani?”
“Tumetekeleza yote tuliyoahidi. Fedha kidogo zilibaki na muda ukaw
tumenunua ndege kuna ubaya gani?” Hakika atavishwa taji apende
Suleiman. Labda mmoja au wawili wanaweza wakauliza: “Kwanini a
kununua ndege bila kuomba kibali kutoka kwetu wananchi
kupitia wawakilishi wetu, bungeni?”
Swali hilo lisikukasirishe baba, usije ukaonekana kama si mwanasia
Taifa aliacha
majibu kwa maswali yote. Kwa maneno yake mwenyewe
alisema: “Wananchi wanapoonyesha uamuzi wa kipumbavu, wanat
kiraia. Wanaponung’unika kwa uamuzi ambao si wa kipumbavu wanaweza
mpaka wakaelewa kwanini uamuzi ule ulifanyika, na faida zake ni n
katika kitabu cha nukuu za Kiswahili za Mwalimu Nyerere). Hao wa
Ndugu Rais, nayasema haya nikijua kuwa baadhi yenu niliwatangu
miaka mingi tu lakini amini usiamini mpaka leo kuna mambo najifun
yangu mdogo. Kupitia kwake
nimejifunza kuwa kumbe ni kweli, hasira ni hasara kwa mwenye ha
kwamba, busara, unyofu na uvumilivu vina makali kuliko makali ya
Binti yangu amesoma chekechea miaka mitatu, shule ya msingi mia
miaka minne. Alipanda basi la shule kwenda shuleni na kurudi. Shu

asubuhi na chakula cha mchana. Nakuambia baba, katika miaka yo
hata siku moja niliyotoa hata shilingi mia kumpa mwanangu eti akat
Leo yuko kidato cha sita. Mama yake anampa Sh 20,000 akatumie
sasa yuko mikoani, bwenini. Bado anachukua Sh 10,000 tu kwa ma
ameninunulia kila kitu. Kwake fedha si msingi.
Kanisaidia kumwelewa Mwalimu Nyerere pale aliposema: “fedha si
maendeleo.” Na kimaendeleo kidato cha nne alitoka na divisheni m
mashindano ya kuandika tafiti kitaifa aliibuka mshindi wa pili.
Baba, mtangulizi wako alikuwa na wapambe wenye uwezo mkubwa
matano tu ‘Maisha bora kwa kila Mtanzania’, akawa rais! Sisi tuna m
usiniulize maisha bora yenyewe aliyowaachia yako wapi.
Si tumesema mwanzoni kuwa mwanasiasa mzuri ni yule mwongo m
wazee akawaambia hela za Escrow hazikuwa za umma. Wakora w
‘kimenuka.’ Wenye fedha zao wameshinda kesi.
Maskini wa nchi hii wanatakiwa walipe. Nchi imefika kwenye fundo.
Baba, uliwakuta Lugumi, James na Seti wakiwa huru kwa sababu k
Wenyewe ni wale waliosema si za umma. Tanesco kuamriwa kuilip
Chartered ni Escrow ileile.
Ninja bila kujua akamuamuru polisi mkubwa kuliko wote nchini amp
Alipoambiwa hao wanakuja, Ninja akaona isiwe tabu, akatimua mbi
Baadaye yakasikika maneno ya kitoto, amempa muda. Bunge halik
yako baba, inahitajika sasa kuliko wakati mwingine wowote ili ijulika
mwanasiasa mzuri au la!
PASCHALLY MAYEGA
SIMU: 0713334239

Mwisho

By Jamhuri