JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Katiba Mpya, Tanzania Mpya 11

Kama nilivyoahidi wiki iliyopita, kwamba baada ya kuwa tumemaliza kulizungumzia suala la Muungano kwa urefu na upana, ningeanza kuzungumzia suala la ardhi katika Taifa letu na jinsi Katiba ya sasa inavyolieleza suala hilo na umiliki wake kwa Watanzania.   Hebu…

Twende tuwekeze Sudan Kusini – Jenerali Kisamba

*Saruji, ngano, vifaa vya ujenzi, alizeti vinahitajika *Asema majirani zetu wameshaanza kunufaika mno   Ushauri umetolewa kwa Tanzania na Watanzania kuamka na kuchangamkia fursa za uwekezaji na biashara zilizojitokeza katika taifa jipya la Sudani Kusini.   Ushauri huo umetolewa na…

Je, machozi ya walimu yatamimina fedha mitaani?

Tulizoea kusikia walimu wakilalamika, lakini safari hii wameamua kulia, na machozi yao yameonekana kupitia nia waliyoionyesha. Walimu sasa wametangaza mgogoro uliobeba mimba dhidi ya Serikali; ambako usipotatuliwa unatarajiwa kuzaa mgomo usio na kikomo.

Agizo alilotoa RC Tabora kwa ‘mchwa’ hawa watalitekeleza?

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa, amezitaka Halmashauri za Wilaya mkoani humo kuhakikisha hazipati hati chafu za ukaguzi wa fedha za serikali, vinginevyo wakurugenzi watendaji na watumishi katika ngazi hizo wasioweza kutekeleza agizo hilo waache kazi.