Latest Posts
Raia wa Naigeria waenda jela miaka 28 kwa kusafirisha dawa za kulevya
Mahakama Kuu ya Uhujumu Uchumi, Divisheni ya Makosa ya Rushwa, imemhukumu kifungo cha miaka 28 jela mshtakiwa David Kanayo Chukwu, raia wa Nigeria, ambaye ni mshtakiwa wa kwanza kati ya watatu, baada ya kukiri kosa la kushiriki katika kusafirisha kilogramu…
Watalii wamiminika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere
Na Said Njuki, JamhuriMedia, Morogoro TANZANIA imebarikiwa rasilimali za kutosha, yakiwepo madini, mito, maziwa, bahari na hata misitu yenye uoto wa asili, lakini pia wamo ndege na wanyamapori wa aina mbalimbali. Kutokana na kuwemo kwa rasilimali hizo lukuki, Serikali ililazimika…
Zelensky : Ukraine itazungumza na Marekani na Urusi
Rais Volodymyr Zelensky amesema mazungumzo ya pande tatu kuhusu kumaliza vita nchini Ukraine yatafanyika kati ya Ukraine, Urusi na Marekani katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), baada ya kukutana na Rais Donald Trump huko Davos. Wakati juhudi za kidiplomasia…
Umoja wa Afrika waiondolea Guinea vikwazo
Umoja wa Afrika umetangaza kuiondolea Guinea vikwazo ilivyoiwekea kufuatia mapinduzi ya mwaka 2021, baada ya nchi hiyo kuandaa uchaguzi wa rais mwezi Desemba. Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika limesema Guinea imepiga hatua katika utekelezaji wa mkakati…
Wabunge wapongeza NIRC kwa mageuzi ya kilimo cha umwagiliaji
📍 Bungeni Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, wameipongeza Tume ya Taifa ya Umwagiliaji na Mkurugenzi Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) kwa juhudi kubwa zinazofanywa kuinua kilimo cha Umwagiliaji nchini kukuza uchumi…





