Latest Posts
JKCI yasogeza huduma zake karibu na jamii Arusha
Na Mwandishi Maalumu – Arusha TAASISI ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeendelea kusogeza huduma zake karibu na jamii kwa kufanya zoezi maalumu la uchunguzi na matibabu ya moyo kwa Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma wanaohudhuria…
Ni wiki ya kishindo, kuna majimbo patachimbika
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki hii kinaanza kishindo cha mchakato wa Uchaguzi Mkuu. Agosti 28, 2025 zinaanza rasmi kampeni kwa ajili ya wagombea urais, ubunge na madiwani. Kuna vyama 19 vya siasa vilivyosajiliwa nchini. Vyama 18 vimesimamisha…
Bodi ya Bima ya Amana yapata Mkurugenzi Mkuu
Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Bima ya Amana (DIB) imemteua Bw. Isack Nikodem Kihwili kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Bima ya Amana katika kipindi cha miaka mitano ijayo kuanzia tarehe 1 Agosti mwaka huu. Gavana wa Benki Kuu…
UVCCM yazindua Mfumo wa Kijani Ilani Chatbot
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida amezindua rasmi Mfumo wa Kijani Ilani Chatbot ambao utawarahisishia vijana kupata taarifa kuhusu utekelezaji wa Ilani ya…
Jaji Mkuu awakumbusha waajiri kuwasilisha michango ya wafanyakazi
· Asema Mahakama haitosita kusimamia sheria dhidi ya waajiri wanaokiuka masharti ya sheria · Wafanyakazi nao wasisitizwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo bila kusukumwa na kuwa na ujasiri ili kutoa taarifa za ukiukwaji wa sheria za usalama mahala pa kazi na taarifa muhimu nyinginezo Na…
Waziri Kombo awalisi nchini Singapore kwa ziara ya Kikazi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahamoud Thabit Kombo amewasili nchini Singapore kwa ziara ya kikazi inayotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 25 -29 Agosti 2025. Akiwa katika ziara hiyo Waziri Kombo atashiriki katika matukio mbalimbali…