JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mombo mkoani Tanga mwamwitikia Dk Samia

Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Mombo mkoani Tanga tarehe 30 Septemba, 2025.    

TISEZA yawakaribishwa wawekezaji Kwala mkoani Pwani

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia,Pwani Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imewataka wawekwzaji wazawa na wakigeni kwenda kuwekeza katika eneo kongani la viwanda Kwala mkoani Pwani. Rai hiyo imetolewa na kaimu meneja mawasiliano kwa umma na habari…

Serikali kuchukua mashamba,viwanda visivyoendelezwa

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media-Korogwe Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Kilimo na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kufanya kazi ya kupitia mikataba ya mashamba yote ya mkonge ambayo hayaendelezwi ili yarudishwe…

Putin: Tunashinda vita vya haki nchini Ukraine

Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema siku ya Jumatatu kuwa vikosi vya Urusi vinapata ushindi katika kile alichokiita “vita vya haki” nchini Ukraine. Putin alisema hayo kwenye video iliyochapishwa katika tovuti ya Ikulu ya Kremlin na kuongeza kuwa wapiganaji na…

Rais wa Madagascar aivunja serikali yake

Rais wa Madagascar Andry Rajoelina ameivunja serikali yake jana Jumatatu baada ya siku kadhaa za machafuko makubwa ambayo Umoja wa Mataifa umesema yalisababisha vifo vya watu 22. Rais Rajoelina alisema alipolihutubia taifa kwa njia ya televisheni kwamba ameamua kusitisha shughuli…