Latest Posts
148 mbaroni kwa ubakaji, ulawiti Arusha
Na Mwandishi Wetu -Jeshi la Polisi, Arusha Jeshi la Polisi mkoani Arusha kupitia operesheni iliyofanyika kuanzia mwezi Aprili mwaka huu hadi sasa limefanikiwa kuwakamata watumiwa 148 wa makosa mbalimbali ikiwemo ubakaji, ulawiti, dawa za kulevya na pombe ya moshi. Akitoa…