JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kamati mpya ya ukaguzi Wizara ya Nishati yafanya ziara katika miradi ya umeme mkoani Pwani

📌 Yapongeza Serikali utekelezaji miradi ya umeme Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Pwani Kamati mpya ya Ukaguzi ya Wizara ya Nishati imefanya ziara katika miradi ya umeme mkoani Pwani ili kujionea utekelezaji wa miradi hiyo hali itakayopelekea Kamati husika kumshauri vyema…

Polisi Dodoma yawaomba wananchi kutoa taarifa za wahalifu

Na Dotto Kwilasa, Jamhuri Media, Dodoma Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma limewaomba wakazi wa mkoa huo kushirikiana kwa kutoa taarifa za watu wanaoshukiwa kuwa na viashiria vya uhalifu ili kusaidia kuwadhibiti mapema kabla hawajatekeleza vitendo vya kihalifu. Kamanda wa…

Askofu Dk Dickson Chilongani asimikwa kuwa Mkuu wa pili wa Chuo Kikuu cha St John Tanzania

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Anglican Tanzania, Mahimbo Mndolwa ameongoza Ibada ya kumsimika Mkuu wa chuo (Chancellor) wa pili wa Chuo Kikuu cha St John,Askofu Dk Dickson Chilongani. Askofu Dk Chilongani ambaye ni Askofu wa Dayosisi…

Wananchi zaidi ya milioni 9 wanufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, halmashauri 180, kata 1,907 na vijiji/mitaa 5,702 vimefikiwa, ambapo wananchi wapatao 2,698,908 walinufaika kwa kupata elimu na huduma za kisheria. Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt….

Bunge lapitisha Tril 3.645/- ya Wizara ya Ulinzi na JKT

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeidhinisha kiasi cha kiasi cha Sh 3,645, 912, 947,000,00 ( Trilioni 3.645) kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 kwa ajili ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa…

Rais wa Namibia Dk Netumbo Nandi-Ndaitwah kuwasili Tanzania leo

Rais wa Namibia, Dk Netumbo Nandi-Ndaitwah (73) anatarajia kuwasili nchini leo kwa ziara ya siku mbili kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan. Ziara hiyo ni ya kwanza ya Rais huyo tangu aapishwe kuiongoza Namibia Machi 21 mwaka huu. Kwa…