JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Trump kuzungumza na Putin kuhusu kusitisha mapigano Ukraine

Rais wa Marekano Donald Trump anatarajiwa kuzungumza kwa njia ya simu mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin, kuhusu usitishaji mapigani nchini Ukraine. Ni sehemu ya jitihada za muda mrefu kuvifikisha mwisho vita vya Ukraine. Viongozi wa Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na Italia…

Rais Samia ampongeza Prof. Janabi

Rais Samia Suluhu Hassan, amempongeza Profesa Mohamed Yakub Janabi kwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kipindi cha 2025–2030. Kupitia ujumbe wake rasmi, Rais Samia amesema ana imani thabiti kwamba uzoefu wa…

Serikali ipo kazini na inaendelea kufanyakazi – Majaliwa

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali ipo kazini na inaendelea kufanyakazi ya kuwahudumia na kuwatumikia wananchi katika maeneo yote nchini na bila ya ubaguzi wa aina yoyote. Kadhalika, Majaliwa ametoa wito kwa wananchi waendelea kushirikiana katika kudumisha amani…

Waombaji mikopo ya elimu, tafuteni namba za NIDA mapema

Na Dk Reubeni Lumbagala, JamhuriMedia, Tanga Ni takwa la kisheria kwa waombaji wa mikopo ya elimu kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kuwa na namba ya utambulisho (National Identification Number-NIN) au kitambulisho cha uraia kutoka…

RPC Morcase atoa rai kwa wawekezaji kwa kuwa makini na kampuni za ulinzi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Kamishna Msaidizi wa Polisi Salim Morcase, ametoa rai kwa wawekezaji na wafanyabiashara kuona umuhimu wa kufunga kamera za ulinzi ndani na nje ya viwanda, kuwa makini na makampuni ya…

Waziri Mavunde azindua mradi wa matumizi ya umeme jua mgodini Igunga – Tabora

▪️Nishati ya umeme wa jua kupunguza gharama za uzalishaji kwa asilimia 65 migodini ▪️Aelekeza kufanyika mradi wa majaribio kwa wachimbaji wadogo ▪️Aipongeza Kampuni ya Madini Taur kwa matumizi ya Nishati safi na kupanua shughuli za mgodi Igunga,Tabora Imeelezwa kuwa mradi…