Latest Posts
Trump anayo hoja anapohofu kuibiwa kura
Hofu za kuibiwa kura huwa tunazisikia kwenye nchi ambazo tunaambiwa demokrasia haijakua. Hayo yamebadilika sasa kwa sababu kwenye nchi ambayo tunaambiwa ndiyo mfano bora kuliko yote ya demokrasia, mgombea wa urais ametamka kuhofia kuibiwa kura zake. Wapigakura wa Marekani wanapiga…
Magufuli ajiita Sizonje
Umewahi kukaa na kutafakari mashairi ya wimbo wa Mrisho Mpoto uitwao Sizonje? Umewahi kuhisi anayeimbwa katika mashairi ya wimbo huo ni nani? JAMHURI imegundua kwamba Sizonje ni Rais John Magufuli, huku akikiri kwa kinywa chake, mbele ya wahariri pamoja na…
Malipo Polisi utata
Ikiwa ni miezi mitatu tangu Mhasibu Mkuu wa Jeshi la Polisi, Frank Msaki, asimamishwe kazi kutokana na tuhuma za kufanya malipo hewa ya posho za chakula kwa askari, JAMHURI imebaini yaliyojificha nyuma ya sakata hilo. Tuhuma hizo zilimsukuma Rais, Dk….
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 16
Mahakimu wanadharau majaji 344. Tume inapandekeza kwamba: i) Mamlaka ya Mahakama ihakikishe kwamba juzuu za sheria zinapelekwa katika Mahakama zote, hasa za mahakimu, zikiwa zimefanyiwa marekebisho yote yaliyofanywa na Bunge. ii) Utaratibu wa kutoa vitabu vyenye…
Polisi Dar lawamani
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limeshiriki katika kuingia kwa mabavu katika eneo la biashara la kampuni ya uuzaji mafuta ya Petrofuel (T) Limited na Isa Limited, hali ambayo ni kinyume cha utaratibu. Askari Polisi, waliotumika kuingia…
Chuo Kikuu Huria kwafukuta
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Dk.Hamza Kondo amesimamishwa kazi ya uhadhiri katika mazingira ambayo ameyataja kujaa utata na ukiukwaji wa taratibu za utumishi. Akizungumza na JAMHURI, Dk. Kondo ambaye amekuwa mhadhiri katika kitivo cha Sanaa na Sayansi za…