Latest Posts
Waziri Mavunde azindua mradi wa matumizi ya umeme jua mgodini Igunga – Tabora
▪️Nishati ya umeme wa jua kupunguza gharama za uzalishaji kwa asilimia 65 migodini ▪️Aelekeza kufanyika mradi wa majaribio kwa wachimbaji wadogo ▪️Aipongeza Kampuni ya Madini Taur kwa matumizi ya Nishati safi na kupanua shughuli za mgodi Igunga,Tabora Imeelezwa kuwa mradi…
Waziri Mavunde azindua kamati ya Masoko na Mawasiliano ya TAMISA
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Madini Injinia Yahya Samamba kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo Bw.Anthony Mavunde amezindua kamati ya Masoko na Mawasiliano ya Taasisi ya Umoja wa Watoa Huduma katika Sekta ya Madini…
Miradi ya maji inaendelea kujengwa nchini kote – Majaliwa
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na ujenzi wa miradi ya maji katika maeneo yote nchini ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma hiyo karibu na makazi yao. Ameyasema…