JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mtoto mchanga aliyeibiwa April 29 apatikana akiwa hai, atupwa pembeni mwa nyumba yao

Na Manka Damian, JamhuriMedia, Mbeya MTOTO wa jinsi ya kiume aliyeibiwa akiwa na akiwa na siku kumi na nne mkazi wa Mtaa wa Iyela One Kata ya Iyela Jijini Mbeya aliyeibwa na mtu asiyejulikana jioni Aprili 29,2025 muda mfupi baada…

Umoja wa Mataifa watoa wito wa usitishwaji vita Gaza

KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito siku ya Jumamosi wa uwepo mpango wa mara moja na wa kudumu wa kusitisha vita katika Ukanda wa Gaza. Guterres ameitoa kauli hiyo alipohutubia mkutano wa kilele wa nchi za…

Waziri Mkuu aridhishwa na maboresho yanayoendelea kwa Mkapa

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Mei 17, 2025 amekagua ukarabati wa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kukagua maboresho ya viwanja kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya AFCON na CHAN…

Polisi yakamata watu wanne kwa wizi wa vifaa vya mradi miji 28

Na Manka Damian, JamhuriMedia,Mbeya WATU wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za wizi wa vifaa vya mradi wa kimkakati wa maji wa Miji 28, kwa wizi wa mabomba 50, ya chuma na “levelling mashine” pamoja na…

JKCI kuwa kituo cha Umahiri cha matibabu ya moyo kwa watoto Afrika Mashariki na Kati

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China zimetia Saini mikataba miwili ya msaada wa jumla ya Yuan za China milioni 500, sawa na shilingi bilioni…