Latest Posts
Jeshi la Israel lapeleka divisheni ya 36 Gaza
Jeshi la Israel, IDF limepeleka divisheni yake ya 36 Gaza City, ambayo ni ya tatu, kama sehemu ya mashambulizi yake ya ardhini dhidi ya wanamgambo wa Hamas. Awali divisheni hiyo inayojulikana pia kama Ga’ash ilifanya operesheni kusini mwa Gaza ikiwemo…
Majaliwa asema CCM imejipanga kuendelea kuleta maendeleo
*Asema Rais Dkt. Samia na Dkt. Mwinyi ni Madaktari wa Maendeleo *Asisitiza kuichagua CCM ni kuchagua Maendeleo. *Awaomba wananchi kumchagua Mhe. Hemed kwa kishindo Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Chama cha Mapinduzi…
CUF : Kupiga kura ndio njia pekee ya kumchagua kiongozi unayemtaka
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, amewaasa wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la kupiga kura, akisisitiza kuwa ndio njia pekee itakayowezesha kumchagua kiongozi wanayemtaka. Pia…
Dk. Nchimbi imani huzaa imani
Na Kulwa Karedia, JamhuriMedia, Nyasa Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Emmanuel Nchimbi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kumteua kwake kuwa mgombea mwenza. Dk Nchimbi ametoa kauli hiyo, wakati akizungumza na mamia ya wananchi wa Wilaya ya Nyasa mkoani…
Aahidi ujenzi reli mpya Mtwara,Nyasa
Na Kulwa Karedia, Jamhuri Media-Nyasa Mgombea urais wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amasema serikali itajenga reli ya kisasa yenye urefu wa kilomita 1,000 kutoka Mtwara mpaka Mbamba Bay mkoani Ruvuma. Rais Samia ametoa kauli hiyo…
Mtendaji Kata ya Lionja afikishwa mahakamani kwa tuhuma za rushwa
Na Mwandishi Wetu, Lindi Mnamo Septemba 18, 2025 katika mahakama ya wilaya ya Nachingwea limefunguliwa shauri la Uhujumu Uchumi namba 22689/2025 mbele ya Hakimu Mwandamizi Mkuu J.Mnguto, Jamhuri dhidi Seleman Ajibu Chimogo ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kata ya Lionja…





