Latest Posts
Tuzo ya Mo Ibrahim kaa la moto kwa viongozi wa Afrika
Wakati Bara la Afrika likiwaaga marais wastaafu watatu mwaka jana katika vipindi tofauti, kulikuwa na matarajio kwamba pengine mmoja miongoni mwa marais hao wastaafu angeweza kuondoka na tuzo ya Mo Ibrahim, hali imekuwa kinyume chake. Marais hao watatu waliostaafu kwa…
Tanzania na fursa ya mradi wa bomba la mafuta
Wafanyabiashara wakubwa duniani kote wamekuwa na kanuni moja ya kuwekeza katika nchi yenye miundombinu rafiki, ambayo itakuwa tija katika kusafirisha bidhaa zao kwa urahisi ili kufikia malendo yao. Kufuatia kipaumbele hicho katika kukuza uchumi wa nchi yoyote duniani, nchi zote zimekuwa…
Uvamizi maeneo ya hifadhi janga la Taifa
Uvamizi katika maeneo yaliyohifadhiwa kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ibara ya 27, umeendelea kushika kasi huku kukiwa hapo na tishio la kuongezeka kwa migogoro ya matumizi ya ardhi baina ya…
Yah: Siasa za wanasiasa baada ya uchaguzi, ni dhambi
Nianze kwa kuwapa hongera wananchi wote kuyakubali mabadiliko yaliyotokea pasi na mnadi mwingine ambaye inasemwa na wanasiasa kuwa kadandia ajenda yao mbele, lakini pia inawashughulikia kama wengine waliokuwa na maisha ya kujiongeza binafsi. Hii dhana ya mabadiliko imekuwa ngeni kivitendo,…
Muungwana ni kitendo
Ada ya mja hunena, muungwana ni kitendo. Hii ni methali chanya na tambuzi kwa mtu yeyote anayejisifu au anayetambuliwa ni muungwana. Muungwana ni mtu mwenye adabu na tabia zinazokubalika katika jamii; adinasi. Maana ya pili mtu asiye mtumwa. Kwa mujibu…
Uingereza waanza dhambi ya ubaguzi
Siku chache zilizopita Waingereza wamepiga kura kujitoa katika Muungano wa Nchi za Ulaya (EU), na haikuchukua muda, thamani ya pauni ya Uingereza ikaporomoka na kufikia kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa tangu mwaka 1985. Zaidi ya asilimia 52 ya waliopiga kura walipiga…