Latest Posts
Mambo muhimu kuanzisha biashara -2
Katika toleo lililopita mwandishi wa makala haya alieleza jinsi mfanyabiashara anayeanza kufanya biashara anavyoweza kulipa kodi yake ya mwaka sasa anatoa mfano jinsi ya utaratibu wa ulipaji wa kodi hiyo endelea
Tanzania kushiriki Reggae Ethiopia
Bendi ya muziki wa Reggae ya mjini Arusha ya ‘The Warriors From the East’ inarajia kushiriki katika tamasha maalum la Muziki wa Reggae, litakalofanyika nchini Ethiopia mwishoni mwa mwezi huu.
Tathmini Ligi Kuu Tanzania Bara
Mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom soka Tanzania Bara ulifikia tamati Alhamisi ya wiki iliyopita. Hatua hiyo inatoa nafasi kwa wachezaji na makocha wao kupata mapumziko mafupi, kabla ya kuendelea kwa mzunguko wa pili wa Ligi hiyo hapo Januari 25 mwakani.
Magufuli amvimbia Pinda
Kuna kila dalili kuwa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli, amekataa au kushindwa kutekeleza maagizo ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kutokana na kilichoelezwa kuwa kuyatekeleza ni kuvunja sheria ya usalama barabarani na kanuni zake, hivyo yeye hayuko tayari kufanya hivyo.
Meya Mwanza, madiwani wapimana ubavu
- Mabishano, matusi vyakwamisha kikao
- Polisi washindwa, Meya atumia mabaunsa
Ni dhahiri kuwa sasa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza hapakaliki. Mgogoro baina ya Meya Henry Matata na madiwani watatu aliowafukuza, unazidi kufukuta na kuhatarisha maendeleo ya wananchi.
Mwigamba ni bomu linalosubiri wakati
Mwaka 2008 nilisoma makala aliyoandika Samson Mwigamba. Nilipoisoma makala hayo nilibaini kuwa Mwigamba ni bomu linalosubiri wakati, lakini watu waliokuwa wamepofushwa na mapenzi dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliishangilia makala ile.
Habari mpya
- Meya Kibaha kuchimba visima vinne kupunguza kero ya maji Pangani
- Huduma za malezi ya kambo zimeongezeka
- Balozi Dk Migiro afanya mazungumzo na Balozi wa China Tanzania
- Dk Natu: Tanzania, UNICEF kuendeleza ushirikiano
- Muonekano majengo ya Kampasi ya Lindi ya UDSM, Dk Mwigulu aweka jiwe la msingi
- Polisi wa Utalii’ waimarisha usalama, imani kwa wageni
- Simbachawane awataka wanaKegara walioko nje kurejea nyumbani kuwekeza
- Morocco yaanza Afcon 2025 kwa ushindi dhidi ya Comoros
- Dk Mwigulu atoa siku saba kwa TANROADS, TARURA Lindi
- Huu ndio utaratibu wa msiba na mazishi kwa kabila la Wahadzabe
- NAOT yaweka mpango mkakati kuandaa ripoti za ukaguzi kwa nukta nundu
- UDSM yaishukuru Serikali Awamu ya Sita kuboresha miundombinu ya elimu na utafiti
- Tanzania, India yaingia makubaliano kuendeleza tiba asili
- Prof. Shendoe awaelekeza walimu wakuu kudhibiti utoro wa wanafunzi na walimu
- Wanamichezo wahamasishwa kuwa mabalozi wa nishati safi ya kupikia